Mjini raha

Hahahaha kijijini si pa kukaa jaman, panachakazaje sasa. hata ukipaka lotion dakika moja ushababuka...mweehhh kijijini panataka moyo waache tu waje mjini warudi na mbegu.

Hahaha....nimechekaje!
 
Kijijini sembe iwepo?wanaitoa wapi? mijini raha hasa ukimpata bwana muuza sembe anayeweza badilisha status from unknown to known....hehehe msinisute mie.
HAhahahhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh Mrembo by Nature nlipoona tu hii thread nkajua nini wawaza hebu nkae kimya mie ya mjini siyajui............... lol yaani kama namwona Auntie Lara 1
 
Last edited by a moderator:
bwana nikutambulishe mie
sembe nisambaze mie]
naija uvae weeeewe!

mjini nikulete mie
kamera nikupe mwenyewe
harusi upate weeeewe

pinki nichague mie
na blue umix wewe
whaiti nivae miiiiiiiieeee

AHAHAHAHHAHAHHAHAHA NAIMBA!
mimi mjini SIHAMI!SIHAMI SIHAMI!
 
ushoga dasalama?
kasema nani?
oh huyu shogaangu wa kufa na kuzikana ,we umekuwa afisa wa RITA?
watu wanabeba tuuuuu!
 
we Mrembo by Nature ukisutwa mie simo!
kwanza my lips are sealed! cacicoooooooooooooooooooooooooooooo u ko wapo mke mwenza amu yani hata wewe imekup[ita hii (unaniangusha odo) Fixed Point mi ukiniambia nirudi mfaranyaki walahi tunapigana! King'asti leo nipitie gal nimegudua bonge la kiota sehemu nikupe habhari ya mujhini
 
Last edited by a moderator:
Mjini mimi siji kila siku kuongeza Dhambi tu
 
kijijini wanahonga mukaniki mujini wanahonga mugari,muduka

ah mie limenishukaje? maana kila kukicha blikuwa lazima niangalie 'inspirational pics' kumbe za mazabe. But ah shoga kwan vipi mana kama kuiba ndo mshaiba, tena sikuvuta katembea mwenyewe kunifuata na saini katia bila shuruti na ndio hivyo kama nlikuwa na starlet sasa hivi natinga ndani ya wenyewe mwaita Audi 7 sijui............... Zahra White na mwenzio Mrembo by Nature mtabaki kupauka midomo kwa kusema na vidole kuuma kwa kutype key boards hah
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaha bwana kakupa nafasi umuoneshe ujuzi, oohhh atalia na jiji atalijua.....
 

Mjini kuna raha zake bandugu, hata omba omba hawashindi njaa, uongo jioni elfu 3 hakosi, kijijini ushaona omba omba barabarani?
 

Heheh kusutwa sunna kwa mwanamke, uzuri mjini hakuna kusutana kule kwa kukalishana chini, ni kwa maandishi tu na mwisho yanafutwa. mjini rahajeeee
 
Kijijini hata umeme hakuna, sikwambii hosptali iko mbali kama kitu gani. Usafiri ni kutembea kwa miguu au kupanda baiskeli nani anataka shida zote hizi. Tena hasa kule kwetu hata chai hakuna mpaka wakati wa mavuno ndo pesa ya sukari ipatikane. Acha bwana hata mie sirudi na wakinilazimisha nitawatoroka tu. Samahani ulikua unazungumzia Dar huondoki eeeeee nahisi niko nje ya mada tayari.
 
Heheh kusutwa sunna kwa mwanamke, uzuri mjini hakuna kusutana kule kwa kukalishana chini, ni kwa maandishi tu na mwisho yanafutwa. mjini rahajeeee

AHAHAAHHAHAHA MUJHINA bana!
na ukitushinda kwa minrno tunakomaa na details zako za chini ya kapeti!
TUNAZIWEKA KWEUPEEE!
af tunapotea eneo la tukio!
mujhini sihami!hiz foleni ntavumilia tu!
 
AHAHAAHHAHAHA MUJHINA bana!
na ukitushinda kwa minrno tunakomaa na details zako za chini ya kapeti!
TUNAZIWEKA KWEUPEEE!
af tunapotea eneo la tukio!
mujhini sihami!hiz foleni ntavumilia tu!

Dahhh sasa hvi nampikiaje chai ya tangawiziiiiiiiiiii kwa raha zangu, lunch serena, dinner sea cliff......mjini kuzidiana ati!! ukicheza unarudi kijijini bila kutaka...JIPANGE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…