Mjini pazuri wallah!!!

Mjini pazuri wallah!!!

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,535
1481043939846.jpg
 
Pataachaje kuwa pazuri wakati mpaka rang unanunua dukani... kijijin hupazi hizo
 
Kumbe mtori wa arusha unaharibu rangi hivi, bora amekuja daslam
 
Mbona ni watu wawili tofauti au macho yangu tu!!
 
Ndio maana mjini wanaigopa mvua kuliko magari.......mbona akiachia mvua akampiga usoni basi akirudi alikotoka watu watamsahau
 
<< daah !! KUMBE huyu kukaa mabega wazi ameanza kitaambo eeeh??? >>
 
Hivi mbona huyu binti naona anaandamwa sana mitandaoni hivi karibuni?? Kuna mtu kamsababishia kibuti nn??
 
Wanafanya wenye rangi nyeupe za kuzaliwa waonekane feki nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom