Mjini njoo na akili, pesa utazikuta

John Sin

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,258
Reaction score
16,454
Wakuu sasa nimerudi mjini kutoka kijiji Mbeya, hapa nina ideas kama 10 zikupiga hela za Watanzania kihalali bila kutumia nguvu.

Huku soko langu kubwa likiwa:

1. Wazee wanaoogopa kufa
2. Wamama watu wazima na mabonge
3. Wadada wasioshika mimba
4. Mambo ya homoni na hedhi (vbinti na vkaka vya 2000)
5. Wagonjwa wa saratani, kisukari na BP.
 
Na vijana tunaoogopa kufa hautusaidii?
 
Tuliza wenge Mkuu kuandika ni rahisi sana hebu tuchambulie hata wazo lako moja linaloleta pesa kirahisi hapo
Mzee kama hujaelewa hapo nenda karesit form 4
 
Jipange upya mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…