Mjini Daslama

Mjini Daslama

Wote washapitiwa 071.... si unaona "viikibinda nkoi" zilivyotokeza
 
maisha ya masista duu wa kwenye mitandano!! yakuunga unga tu hahahah
 
Hizo issue zitakuwa ni za kona bar ama kambi ya fisi usiku kucha walikuwa "job" sasa wanapumzika
 
au mabaamedi hawa?

hawa watakuwa ni wadada wa ishio getho inaonekana wauza bar so ikifungwa mlalo ndo huu

poor girls ................. af utashangaa wanywa pombe kwenye hayo mabaa ni pamoja na watumish wa vitengo nyeti kama wizara ya kazi na maendeleo ya vijana, na OSHA lkn hawna muda wa kuweka regulation juu ya aina ya malazi wanayotakiwa wapewe hawa mabinti.

tunapendaga tu kuwaita wtauhudumia lkn kuwasaidia ili watuhudumie vzr hatuoni kama ni muhimu
 
Back
Top Bottom