hawa watakuwa ni wadada wa ishio getho inaonekana wauza bar so ikifungwa mlalo ndo huu
poor girls ................. af utashangaa wanywa pombe kwenye hayo mabaa ni pamoja na watumish wa vitengo nyeti kama wizara ya kazi na maendeleo ya vijana, na OSHA lkn hawna muda wa kuweka regulation juu ya aina ya malazi wanayotakiwa wapewe hawa mabinti.
tunapendaga tu kuwaita wtauhudumia lkn kuwasaidia ili watuhudumie vzr hatuoni kama ni muhimu
mkuu una uzoefu nao inaonekana
Kweli yamtokayo mtu ndio yaliyojaa moyoni sorry kwa nilichokisema.hahaha
Hao ukilala nao utatoka na harufu mbaya hutokaa usahau maishani
Ndio maisha halisi ya wakazi wa mjini