My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,333
Aisee miaka inakimbia kama gari yaani, nipo kijijini kwetu Magu nakula viazi vitamu mwezi wa pili leo.
Yaani natumia Ka Tecno kangu baada ya kuibiwa kila kitu na machokora wa Nairobi.
Viazi vitamu na karanga za kukaanga na chai ya maziwa ni vitamu asikuambie mtu, Burger za nyama ya kondoo hazina dili kabisa.
Wananzengo mjiandae kisaikoloji over the up coming heavy news which will be trending in the social networks .