Mji wa moshi kabla ya sikukuu ya christmas

Mji wa moshi kabla ya sikukuu ya christmas

adobe

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
2,770
Reaction score
1,887
Kwa wale ambao hamjawahi fika moshi mjini huu ndo mji wenu ulioko ndani ya nchi yetu.oneni na muige usafi na mandhari yake.

Lazima wachaga wajivunie maendeleo yao na ustaarabu ulioachwa na wazungu
 
Attachments

  • DSC07970[1].JPG
    DSC07970[1].JPG
    35.9 KB · Views: 326
  • DSC07972[1].JPG
    DSC07972[1].JPG
    35.4 KB · Views: 256
  • DSC07973[1].JPG
    DSC07973[1].JPG
    41.1 KB · Views: 259
  • DSC07992[1].JPG
    DSC07992[1].JPG
    32.5 KB · Views: 220
  • DSC07996[1].JPG
    DSC07996[1].JPG
    26.3 KB · Views: 221
Kwa wale ambao hamjawahi fika moshi mjini huu ndo mji wenu ulioko ndani ya nchi yetu.oneni na muige usafi na mandhari yake.

Lazima wachaga wajivunie maendeleo yao na ustaarabu ulioachwa na wazungu

usta"arab"u = Utaachajwe na wazungu? highly contradictory.
 
Ustaarabu kwa maana ya civilised nadhani, ustaarabu asili yake ni kiarabu, nadhani ndo maana FF mapovu...
 
usta"arab"u = Utaachajwe na wazungu? highly contradictory.

Contradiction unaizusha mwenyewe. Hakuna uhusiano kati ya neno "ustaarabu" na uarabu. Au unataka kutuambia mtu lazima awe muarabu ili awe mstaarabu?
 
Jimbo la Moshi ni msafi sana. Tangu lilipoanza kuongozwa na Mbunge wa cdm, wameweka sheria ndogo ya usafi wa mji ambapo hata ukikamatwa kwa kutupa vocha, ganda la pipi, kutema mate unapigwa fine ya 50 elfu. Kuna vijana wapo mjini kwa kazi ya kufuatilia na hawana utani. Nilishawahi kumlipia rafiki yangu ambaye alitupa vocha bila kujua. Si mchezo!
 
usta"arab"u = Utaachajwe na wazungu? highly contradictory.

Waarab ni katili sana... Ushahidi ni kama walivyosulubu viongozi wao kama Quaddafi na Saddam.. Wazungu wanauma huku wanapuliza,kama panya...
 
Kwa wale ambao hamjawahi fika moshi mjini huu ndo mji wenu ulioko ndani ya nchi yetu.oneni na muige usafi na mandhari yake.

Lazima wachaga wajivunie maendeleo yao na ustaarabu ulioachwa na wazungu

Nime like kwa haya.

  1. Umeappreciate kwamba Moshi ni mji mzuri , msafi na wa kuigwa humu Tz.
  2. Umeonyesha vitu vizuri vinaweza pia kutokea huku kwetu
  3. Umewasifia Wachagga kwa usafi na ustaarabu.
Nimeku dislike kwa sababu umewadharau wachagga kwamba hawawezi kitu hadi waafundishwe na Wazungu au kuachiwa nao. Huku ni kufikiri kwa kwenda mbele na kurudi nyuma . Hiyo imespoil your good intention broda. Next time think twice before you scribe.
You may visit moshi rural areas uone zaidi ya uliyoona hapo Motown.
 
Waarab ni katili sana... Ushahidi ni kama walivyosulubu viongozi wao kama Quaddafi na Saddam.. Wazungu wanauma huku wanapuliza,kama panya...

Na wale walio msulubu "Mwana wa mungu"? walikuwa nani?
 
Jamani nani ametembelea Nakumatt sikukuu hii? Nataka nikavinjari kabla ya kuridi kutafuta hela mjini. Iko mitaa ya wapi?
 
Jamani nani ametembelea Nakumatt sikukuu hii? Nataka nikavinjari kabla ya kuridi kutafuta hela mjini. Iko mitaa ya wapi?

Mkuu,
Ipo chini kidogo ya crdb, kama unaelekea Kilimanjaro Crane.
 
Mkuu,
Ipo chini kidogo ya crdb, kama unaelekea Kilimanjaro Crane.

Nshukuru ngoja nitakwenda kufanya shopping kidogo niongeze circulation ya hela kwenye kamji ketu.
 
Mbona Kimborloni kwenye 'Bucha za Wakristo' hutuletei maphotoo ?

Ally Kombo picha hzi hapa ukienda uliza "onyonya Ukunonze" ndio wanaongoza kwa kutengeneza hii kitu kitaalam

4.jpg

5.jpg

31.jpg

32.jpg
 
Attachments

  • 33.jpg
    33.jpg
    5 KB · Views: 55
  • mchina.jpg
    mchina.jpg
    8.8 KB · Views: 47
Back
Top Bottom