Mji wa moshi kabla ya sikukuu ya christmas

Mji wa moshi kabla ya sikukuu ya christmas

Moshi ni Mji/jiji safi sana ukiongozwa na halmashauri ya Chadema!! Kubalini tu nyie ccm kuwa uongozi wa Chadema Moshi mkoani Kilimanjaro ni mfano wa kuigwa nchi nzima.
 
Unaiba picha kwa Michuzi huweki source,

Alafu ndo nyie mnajifanyaga kumponda Michuzi kumbe kazi yake mnacopy bila shukrani.

Jf bana!
 
Back
Top Bottom