Nimetonywa na jamaa kuwa kuna eneo huko Kigamboni kuna gesi kwa wingi na ndio maana kuna hiki kiini macho cha KDA mara mji mpya na baadae Mji wa kisasa.
Mji ukishajengwa vituo vya basi vitakuwa hivi:
1. Kibada: Kwa Obama
2. Garibovu: Kwa Clinton
3. Ungindoni: Kwa Rice
4. Mjimwema: Chicago
4. Maweni: Oregon
5. Bigstone: Kwa Bush
6. Kwa Mwingira: Rice Corner
7. Makaburini: September Eleven
8. Mikadi: Kwa Washington
9. Machava: Clinton Square
10.Feri: New Hawaii
Baada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.
Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv
It doesnt matter. Whether Kigamboni ipo temeke, mbagala, ilala, keko or Lindi region, we dont care. Haituhusu. Tunachotaka kuona sisi ni maendeleo. Mji safi, barabara, hospitali, umeme, masoko ya kisasa, shule za sekondari, vyuo nk. nk.
Si mchezo,Ntwala oyeeeeee.
Waache wajidanganye tutawapigisha kwata verry soon.Siyo Ntwala pekee mkuu, nchi nzima imeshawashutukia hawa jamaa lakini wao bado wanajidanganya
We need a modern city, there is no any development in this world which occured bila baadhi ya watu kuumia.
Hivi wanaoindeleza Dubai ni wapumbavu????? Leo hii project Kigamboni ikitake off nani ataenda kununua plot Masaki ya dola laki 5 na zaid?
Je mwamanchi wa kawaida aliyepewa nyumba ya millioni 100 ktk huo Mradi akiamua kuuza atauza sh ngapi? Mjomba wangu wa Gezaulole kiwanja chake kitapanda thamani mara ngapi mradi uki take off???
Dar es Salaam ya leo ni mbaya, Chafu, haivutii hata kidogo kwa mtu mwenye pesa yake kuja kupumzika.
Tunahitaji watalii kufikia 2015 wawe 1m and above na ikibidi 2030 wawe 5m and above.
Watu wanataka wakishamaliza kuona Simba wakifanya mapenzi nao waende sehemu kujirusha na kula bata( Kigamboni ingekuwa ideal) leo hii niambie waende wapi????.
Juzi Kibaki kachukua plani mnazopinga za Kigamboni anaimplement kwao, nyie pigeni makelele mkiamka itakuwa imekula kwetu.
NINGEKUWA NA UWEZO NINGE MWAMBIA MAMA TIBAIJUKA TIA PAMBA MASIKIONI ENDELEZA MRADI WATAKUSHUKURU BAADAE WAKISHA ONA (Watengenezee MACAU ya TZ)
Baba, wajomba walichapwa na Mjerumani viboko leo hii tuna reli ya Kati, Mwl na waliomfuata wameleta siasa katika mambo ya maendeleo ndo maana tuko hivi tulivyo.
TUSHABIKIE UJINGA NA TUTABAKI HIVI HIVI NA UMASIKINI WETU, MANISPAA ZETU ZINA NINI KA SIO PANGO LA WACHUMIA TUMBO? MIAKA 50 YA UHURU NI MANISPAA GANI IMEFANIKIWA KTK MIPANGO MJI?????? TAFAKARI HALAFU UCHUKUE HATUA!!!!!
We need a modern city, there is no any development in this world which occured bila baadhi ya watu kuumia.
Hivi wanaoindeleza Dubai ni wapumbavu????? Leo hii project Kigamboni ikitake off nani ataenda kununua plot Masaki ya dola laki 5 na zaid?
Je mwamanchi wa kawaida aliyepewa nyumba ya millioni 100 ktk huo Mradi akiamua kuuza atauza sh ngapi? Mjomba wangu wa Gezaulole kiwanja chake kitapanda thamani mara ngapi mradi uki take off???
Dar es Salaam ya leo ni mbaya, Chafu, haivutii hata kidogo kwa mtu mwenye pesa yake kuja kupumzika.
Tunahitaji watalii kufikia 2015 wawe 1m and above na ikibidi 2030 wawe 5m and above.
Watu wanataka wakishamaliza kuona Simba wakifanya mapenzi nao waende sehemu kujirusha na kula bata( Kigamboni ingekuwa ideal) leo hii niambie waende wapi????.
Juzi Kibaki kachukua plani mnazopinga za Kigamboni anaimplement kwao, nyie pigeni makelele mkiamka itakuwa imekula kwetu.
NINGEKUWA NA UWEZO NINGE MWAMBIA MAMA TIBAIJUKA TIA PAMBA MASIKIONI ENDELEZA MRADI WATAKUSHUKURU BAADAE WAKISHA ONA (Watengenezee MACAU ya TZ)
Baba, wajomba walichapwa na Mjerumani viboko leo hii tuna reli ya Kati, Mwl na waliomfuata wameleta siasa katika mambo ya maendeleo ndo maana tuko hivi tulivyo.
TUSHABIKIE UJINGA NA TUTABAKI HIVI HIVI NA UMASIKINI WETU, MANISPAA ZETU ZINA NINI KA SIO PANGO LA WACHUMIA TUMBO? MIAKA 50 YA UHURU NI MANISPAA GANI IMEFANIKIWA KTK MIPANGO MJI?????? TAFAKARI HALAFU UCHUKUE HATUA!!!!!
Baada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.
Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv
marehemu Kolimba Katibu Mkuu wa CCM (RIP) aliyaona hayo miaka 15 na ushee iliyopita, sasa watanzania wa hali ya chini kabisa ndiyo wameanza kuyagundua leo hii. Kuwa na serikali kipepeo ni hatari kuwa usalama wa taifa.Hii serikali sasa kama kipepeo...no direction at all