Mji Wa Kigamboni Warejeshwa Temeke

Mji Wa Kigamboni Warejeshwa Temeke

Baada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.

Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv
mji unaotaka kujengwa kigamboni ukajengwe kigoma,maana kikwete alisema kigoma itakuwa dubei
 
Ngug yangu Lingusenguse nadhani wewe hujatuelewa wananchi wa Kigamboni, hatupingi mji mpya wa maendeleo ya mji, ila je serikali yetu itaweza, wametusimamisha kwa muda wa miaka 3, badala waje na kwa nini wameshindwa kufanya kitu kwa muda wote huo ndio kwanza wanaongeza eneo, hapo ww unaona sawa? Ferry pale kila siku magari yanagongana kutokana na ufinyu wa eneo, kwa nini serikali iserekebishe tatizo la pale kwanza,Ferry ndio commercial area mimi naona wangeanza na Ferry mpk Machava kwanza hapo hata ss wananchi tungekuwa na imani.

Wameshakula pesa ya waarabu na wachina. Unakumbuka JK alikwenda Oman akapewa zawadi lukuki na kusafirishwa kwa mkokoteni wa farasi. Halafu unakumbuka ile issue ya ritz kule china? Watu walishaweka chao mfukoni ndo maana Tibaijuka ana confidence sana
 
wakati mwengine viongozi wetu wanatufanya tuonekane wehu!60-100 years ago,our grandfathers chased colonialists out of AFRICA,they wanted our LAND,they wanted AFRICANS to decide what to do with our LAND,they wanted us to decide our fate.

fast forward a century later,we are selling what our grandparents lost their lives for,what those great men fought for.i can foresee 50 years later our grandchildren fighting for their independence again.Am glad my grand children will know where i stood.

I don't care how many high rises they will erect,how many plantations they will cultivate,how many FDI they will bring.I do no support this re-colonization of our dear land by colonialists and their puppets (Tibaijuka, Kikwete et al). These nitwits have witnessed DAR being one of the worst planned cities in the world,today they come out with the audacity to say they will create a modern kigamboni,why don't they go somewhere after pembamnazi and realize their dream,am sure they will only have bushes to navigate. No wonder Mtwara comrades are chasing them away and burning their puppet houses.
 
Baada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.

Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv

Serikali sasa wanatakiwa wakae chini wajipange vizuri kuiendesha nchi kwa manufaa ya wananchi na si kwa matakwa na manufaa ya kundi la watu fulani. Wasipokaa vizuri yaliyotekea Libya, Misri na Tunisia hayako mbali Tz kwa hali ilivyo sasa.
 
mji unaotakiwa kujengwa kigamboni ujengwe kigoma ujiji
 
Serikali sasa wanatakiwa wakae chini wajipange vizuri kuiendesha nchi kwa manufaa ya wananchi na si kwa matakwa na manufaa ya kundi la watu fulani. Wasipokaa vizuri yaliyotekea Libya, Misri na Tunisia hayako mbali Tz kwa hali ilivyo sasa.
serikali ya ccm haiwezi kujirekebisha,lamsingi ni kuondoka madarakani maana wana macho lakini hayaoni wana masikio lakini hawasikii wanamikono lakini haishiki wanamiguu lakini haitembei wala hawatoi sauti kupitia kwenye koo zao, hivyo hawafai tena kuongoza nchi hii
 
Hivi kwenye ahadi za Kikwete alisema Kigoma itakuwa Dubai au alikosea alikuwa anamaanisha Kigamboni ndyo itakuwa kama Dubai?
Ahadi nyingine zinachekesha
 
Back
Top Bottom