Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,521
- 42,659
Kama hata mama yako mzazi humuamini sina cha kukusaidia, pole sana!
Bwanamdogo jiheshimu....
Kama hata mama yako mzazi humuamini sina cha kukusaidia, pole sana!
Acha ubishi wewe bara bara ya mlima kitonga sio lami ni zege tupu mwanzo hadi mwisho wa mlima na kuna car parking za kutosha tu kushoto na kulia.




Hapo sawa mkuuHapana namaanisha mwaka waliofanya maboresho yani walipoitoa ile lami wakapanua bara bara na kuweka zege na kingo baadhi ya kona yani sasa hivi haunyati na una overtake vizuri tu iwe kupanda au kushuka.
![]()
Hii ni mlima Kitonga kabla hujafika Ilula. Hapa mwendo pole iwe kupanda au kuteremkia Ruaha. Kati ya barabara nyingi nilizopita Tanzania hii Kitonga ni mlima mrefu zaidi hata ile ya Singida kwa wilaya na jimbo la uchaguzi la Mchemba aka Sekenke haifui dafu.
Tujaribu kuelimishana
Barabara hujengwa kwa kokoto, mawe au mchanga ili iwe paved ipitike bila matatizo. Kuna njia kadhaa za kushikiza pavement (mchanga, kokoto au mawe) kwa kutumia teknolojia mbalimbali ikiwemo lami, sementi nk. Tunachokiona kwenye barabara tunazozoea kuita za lami si lami vinginevyo njia isingepitika ingemwagwa lami, ila ni kokoto au mchanga ambao hushikizwa kisha kushindiliwa na lami au sementi.
Kwa maana hiyo Kitonga ni paved road ambapo barabara imejengwa kwa utaratibu wa kawaida kutumia pavement ambazo ama simeshindiliwa kwa kutumia lami au sementi. Nadhani kwa hapo imeeleweka.
Historia ya kujenga barabara ilianzia Ulaya na Warumi ndio waliofanikiwa kwa kiwango kikubwa kuwatumia mateka katika kipindi cha kutanua dola ya kirumi kujenga barabara kwa kutumia mawe au matofali na vigae. Lakini teknolojia imekuwa na kuamua kutumia vitendea kazi ambavyo ni rahisi na huleta ufanisi kwa kasi katika ujenzi kwa muda mfupi kuliko mawe.
Kitonga kilichofanyika ujenzi wa kiwango cha juu tofauti na barabara nyignine.
Barabara nyingi Tanzania zimejengwa kwa kiwango cha chini bila ubora wa kimataifa, ndio maana ujenzi wa pale Kitonga ambao umeuainisha ndivyo barabara kwa nchi zilizoendelea hujengwa kwa mtindo huo, kwanza humiminwa zege ndipo ije ile ya kawaida tuliyozoea Tanzania. Ujue si kitu pekee uitavyo zege ila ni ujenzi wa barabara kama nyingine tuzionazo ila kwa kiwango cha juu tofauti na nyingi ambazo zimejengwa kwa kushindilia udogo tu na kisha kuwaga layer ya pavement.
Paved Road
View attachment 192741 View attachment 192742 View attachment 192743 View attachment 192744
Brick/stone or block paved road
View attachment 192745 View attachment 192746 View attachment 192747 View attachment 192748
Rough, loose and uneven pavement on road
View attachment 192750 View attachment 192751 View attachment 192752View attachment 192753
Asiyeelewa bora kutumia mifano itasaidia kujenga uelewa
We hujafika mahenge bado!?
Mkuu Kitonga wameweka zege. Zege lilitengenezwa kwa vipande vipande pembeni then ndio vikawa vinapachikwa barabarani na kuunganishwa kwa sementi.
Walichofanya ni kama ujenzi wa kwenye madaraja madogo madogo korofi Kama yaliopo ukienda Ifakara na Mahenge, au barabara ya Matombo mlima Ng'alo.
Huu ujenzi unaruhusu maji kupita lakini hayaharibu barabara kama yanavyoharibu paved roads za kawaida. Pia huu ujenzi unahimli uzito mkubwa kuliko zile za kawaida hata kama mazingira ya barabara ni maji maji.
Mkuu Kitonga wameweka zege. Zege lilitengenezwa kwa vipande vipande pembeni then ndio vikawa vinapachikwa barabarani na kuunganishwa kwa sementi.
Walichofanya ni kama ujenzi wa kwenye madaraja madogo madogo korofi Kama yaliopo ukienda Ifakara na Mahenge, au barabara ya Matombo mlima Ng'alo.
Huu ujenzi unaruhusu maji kupita lakini hayaharibu barabara kama yanavyoharibu paved roads za kawaida. Pia huu ujenzi unahimli uzito mkubwa kuliko zile za kawaida hata kama mazingira ya barabara ni maji maji.
Kweli hiyo siyo IringaHiyo picha ya tatu imeichomekea siyo Iringa!
Umewahi kuwaona wakila na ukakaribishwa au umesikia stori za kalikuwa kadogo kadogoHii kitonga hii ni mpya na ni ya kwako! Washauri waache kula mbwa