Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
picha pekee ambayo sio iringa hapo ni hiyo barabara kwenye mlima porini. sijajua ni eneo gani hilo. sijaenda iringa kwa miaka 7 sasa, napamissHiyo picha ya tatu imeichomekea siyo Iringa!
Hiyo picha ya tatu imeichomekea siyo Iringa!
picha pekee ambayo sio iringa hapo ni hiyo barabara kwenye mlima porini. sijajua ni eneo gani hilo. sijaenda iringa kwa miaka 7 sasa, napamiss
Hiyo picha ya tatu imeichomekea siyo Iringa!
Ni barabara ipo Bolivia, Amerika ya kusini. Ukiwa unatoka La Paz (mji mkuu) kuelekea mikoani ndo unapita barabara hiyo
mtoa mada ungeweka na picha ya msikiti wa miomboni kubalance equation.....
![]()
Hii ni mlima Kitonga kabla hujafika Ilula. Hapa mwendo pole iwe kupanda au kuteremkia Ruaha. Kati ya barabara nyingi nilizopita Tanzania hii Kitonga ni mlima mrefu zaidi hata ile ya Singida kwa wilaya na jimbo la uchaguzi la Mchemba aka Sekenke haifui dafu.
Safi sana nimeona, sasa hawa wabongo wanaopata ajali za kizembe maeneo tambarare wakifika Bolvia sindio watakufilia mbali
Hii picha umechomekea siyo Iringa hii ni Yunga s Road au Alamaaruf "death road" Bolivia.
Source: Bolivian Road of Death
Hivi Tony Gwanco uongo unakusaidia nini?
Hii picha umechomekea siyo Iringa hii ni Yunga s Road au Alamaaruf "death road" Bolivia.
Source: Bolivian Road of Death
Hivi Tony Gwanco uongo unakusaidia nini?
![]()
Hii ni mlima Kitonga kabla hujafika Ilula. Hapa mwendo pole iwe kupanda au kuteremkia Ruaha. Kati ya barabara nyingi nilizopita Tanzania hii Kitonga ni mlima mrefu zaidi hata ile ya Singida kwa wilaya na jimbo la uchaguzi la Mchemba aka Sekenke haifui dafu.
Hii kitonga hii ni mpya na ni ya kwako! Washauri waache kula mbwa