Nenda kairekebisheheading isomeke mji wa Arusha unakuzwa (overrated)
Nenda kairekebishehuko juu.
Halafu kua na adabu usiifananishe Arusha na manispaa. Akili kubwa wote wakitoka huko kwao Dar wanapita tu lakini Arusha wanakaa.
PoleKumbe umekaa tu miezi 4 halafu utengemee uyaone maajabu ya Arusha? Utakuwa umefikia kwa shemeji yako amekubania kutembea sehemu za wajanja
Nimeona uzuri wa mji
Wiki 4Kumbe umekaa tu miezi 4 halafu utengemee uyaone maajabu ya Arusha? Utakuwa umefikia kwa shemeji yako amekubania kutembea sehemu za wajanja
Nakubaliana na wewe ,nilichosema ni kwamba sifa inayopewa Arusha zimepitilizaUmetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
Mpangilio wa mji,ubora wa majengo, ubora wa Makazi ya watu etc
Wiki 4 siyo chache kuujua mji
Kipindi fulani nilikula ule mkate wa Tsh 2,500 mzima mzima, na vikombe kadhaa vya uji. Aise, nilikuwa kituko pale stendi.Umetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
Kweli hamna kitu cha maana vibaka kila kona tu wanatusumbua mwenyewe napanga kujirudia jijini hawa machalii ******* tupu..!Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa basilica sifa unaweza Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.
Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.
Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.
Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Ndiyo maana nimesema upo overratedwe ntu m1 hutuumizi kichwa mana dunia inaitambua Arusha na mazuri yake zaidi ya Dar.
Arusha home sweety home of mans
Acha ukuda hamna cha ziada ukiacha vibaka na wanywa pombe na mbege na bangi.Umetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
Kweli sifa nyingi cha maana hakuna .Kweli hamna kitu cha maana vibaka kila kona tu wanatusumbua mwenyewe napanga kujirudia jijini hawa machalii ******* tupu..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hujakujua Arusha. Moshi ni kuzuri lakini si kufananisha na Arusha. Labda kama ungefananicha moshi na mikoa/ manispaa mingine.Mpangilio wa mji,ubora wa majengo, ubora wa Makazi ya watu etc