Iyo ni kwa sisi wanazengo huwezi jua zingine huko wanazopeana mama ni kama wewe tu ukiwa na danga lako likakununulia gari ukaja kulionyesha kwetu ila pesa alizokupa tangu mnaanza mambo yenu hujawahi tuony3sha pia na shamba alilokumegea hujawahi tuonyesha