Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
maisha mafupi sana,nimejifunza kitu.... "Love is every thing....hate is nothing" Tuishi kwa upendo🙏🏾Huyu Ex wa V nae siku hizi kashaanza kuwa mdangaji, huyu si nasikia kwao pesa zipo, hata music anafanyia hobby tu sio kama Ana njaa sana kama akina Domo Au ndo fix tu na yeye njaa tu kama wasanii wengine.
Basi bwana, nasikia cheusi mangala wetu alikua anadanga na Yule mtangazaji wa kiume millionaire kutoka kenya , na ndio sponsor wake, unaambiwa huyo mtangazaji ana pesa chafu, na ndio anayempa jeuri ya pesa Kaka yetu mtanashati asiye na makuu, pia anampa sana promo msanii wetu nyimbo zake zipenye pande za +254, Na nasikia mpaka Leo bado wapo wote.
Hivi karibuni tena sukari ya warembo anadaiwa kutoka na N music, at the same time pia wanashare penzi na manager wa hotel yenye hadhi ya nyota tano hapa mujini, unaambiwa huyo mzungu Ana pesa chafu , na ndiye anayewapa jeuri Hao wasanii mjini. Ndio maana wasanii wetu siku hizi hatuwaoni studio kutoa single , wao kutwa kusafiri na kuuza sura nchi za watu kwa pesa za kuhongwa
Siku hizi Hao wasanii hawakauki kwenye hiyo hotel expensive kila weekend, yan wamefanya hotel kama ya baba yao, kama wanazengo mkifuatilia mtaona, kuna wasanii wa bongo fleva kama wanne hivi hawakauki kwenye hiyo Hotel, yan wanaenda na kulala wakat wowote wanaojisikia, na huyo manager alivyo mzee Sasa , yani pesa hizi , baba jitu zima kazi kuaribu watoto wa watu , lakini na wenyew wanapenda short cut wacha tu wachezewe.
Uzuri huyo manager nae mwingi, anawabadilisha kama boxer, iddy nae kipindi Ndo mpya nae alikua anajishebedua kama kote , picha kila siku akiwa hotelin , yan watu mnawaza hawa wasanii wetu mziki unalipa kila siku wanalala hotel nyota tano wanabadilisha magar, kumbe mambo ya sponsor.
Hiyo hotel inaongozwa kutembelewa na mastaa wa kiume tu, Tena wale warembo warembo, kama mwenznagu una sura kama Harmonize hyo hotel utaiona jehanam, wenzenu wanapangiwa majumba na magari kama yote , wenzenu muziki wanafanya hotelin sio studio Tena .
Mwenzenu domo kila siku anahangaika studio kutoa nyimbo mpya, wenzangu na Mimi mnagombania wanaume wawape pesa za bure halafu mnaanza kumchukia domo wakat mwenzenu anachuma kwa jasho lake, mxieew .
Na wewe sukari ya warembo ndio maana kila siku mnagombana na baby wako unajifanya humtaki kumbe uko busy na wanaume wenzako mxiew.
Safi kwa kujifunza mkuu.maisha mafupi sana,nimejifunza kitu.... "Love is every thing....hate is nothing" Tuishi kwa upendo🙏🏾
Asee sijawahi kumfuatilia marehemu nyuzi zake ila nmesoma comments za kwenye uzi fulani wa tanzia unaomhusu marehemu naona Kuna members wanataka kuvunja 'privacy' ya marehemu Sasa nikajiuliza members mbona wanataka wajue faragha ya marehemu, Sasa kumbe nmekutana na huu uzi Sasa ndo nmefahamu kwann baadhi ya members humu wanataka privacy ya marehemu waifahamu kumbe hizi threads hiz!!...Safi kwa kujifunza mkuu.
Maisha ya kutangaza siri za watu ama maisha yao binafsi sio maisha mazuri,sio ujanja wala sio ustaarabu.
Kutangaza maisha ya watu binafsi ambayo wao hawajayaweka in public huko ni kutangaza aibu za watu lakini watu wanachukulia ile uhuru wa kuongea n.k
Hata kama watu wanafanya makosa katika maisha yao binafsi lakini haifai kuwatangaza katika jamii.
Sio poa wakuu
Dunia inaelekea pabayaLokole nae kalipua [emoji95]. Anasema wamuachie jux wake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli huu mji mzito. View attachment 1720536
Tena wengi hao wanaojifanya masela sijui wametoka chugga ndio wameharibiwa sana na waarabuKwaiyo unataka kusema machalii wa ifm na CBE wengi siyo riziki tena mkuu??
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Chuga Marasta ndo wenyewe! Wanacheza na MIC mchana peupe!Tena wengi hao wanaojifanya masela sijui wametoka chugga ndio wameharibiwa sana na waarabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dunia inaelekea pabaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahChuga Marasta ndo wenyewe! Wanacheza na MIC mchana peupe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena na vee wote wameshare dushe 1, af vee mwenyew n lesboos, afadhar hata saiv amezaa, gegedo la rotimi amelielewa uwiiiih.Hadi jux jamani? Duh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teenaah,vibosile Wanashare na vijana wa dit
Kuna mmoja yupo Mbezi Makonde, daahMbezi beach huko ndo kwenyewe, vijana wa chuo wamepangishwa appartments na hawa vibosile. Hasa IFM na CBE.
Mtoto wa kiume kukubali kulawitiwa haikubaliki, lazima utangazwe tu hakuna namna.Safi kwa kujifunza mkuu.
Maisha ya kutangaza siri za watu ama maisha yao binafsi sio maisha mazuri,sio ujanja wala sio ustaarabu.
Kutangaza maisha ya watu binafsi ambayo wao hawajayaweka in public huko ni kutangaza aibu za watu lakini watu wanachukulia ile uhuru wa kuongea n.k
Hata kama watu wanafanya makosa katika maisha yao binafsi lakini haifai kuwatangaza katika jamii.
Sio poa wakuu
Huyu Warumi alikua mtu wa namna gani? Rafiki zake wamefanya siri hata sasa.Mbonaaa kakaangu halafu mwishoni tena dadangu ni vipi aiseee??
Hadi jux jamani? Duh
He was a gay nothing to hideHuyu Warumi alikua mtu wa namna gani? Rafiki zake wamefanya siri hata sasa.
Ilifichwa fichwa sana humu na wapambe wake, shukrani kwa taarifa Mkuu.He was a gay nothing to hide
Apumzike anapostahili