Mbeba Maono
Senior Member
- Jun 24, 2008
- 108
- 7
We utamweza Pundit.....mwenzako anaweza akaunganisha kuhusu hayo aliyosema kamanda na Freud, binary, galaxy, milky way n.k.
bwana mdogo sio hivyo, watu waseme wasiseme, jaji hawezi akawasikilia, yeye atahukumu kulingana na sheria inavyosema kulingana na ushahidi utakaotolewe mahakamani. hiyo ya kusema wakili wake atasema kuwa mteja wake ameanza kuhukumiwa na kamanda, itasaidia tu kutokumchafulia mshikaji jina, ila haina effect yoyote, ndo maana kuna kukata rufaa mkuu, jaji akileta za kuleta, kama una uhakika kuwa alikwa biased na minong'ono ya wananchi au ya kamanda, you will appeal to the higher court. so haina connection kabisa, hiyo huwa inakuwa ni defensive mechanism ya mawakili tu, lakini haina effect kwa majaji.
to tell you, wanasheria na majaji wanazo ethics zao, wameenda shule, na wamefundishwa kuwa, mtu hana kosa hadi ithibitike kuwa ana kosa kwa ushahidi unaojitosheleza ambao hauna mashaka. tatizo ni pale kila mtu anapojifanya anajua sheria kwasababu alisoma kesi moja au hata kumi kwenye gazeti, waulize wanasheria wamesoma kesi ngapi, kama sio laki nane na uchafu...hahaha.
Actually Freudian theorization of the negatives would typically characterize this commander, who is further speculating on a case that some would bland as a reversal of the Edipal complex being that the binary relationship was reaching an emotional black hole similar to the one in the centre of the Andromeda Galaxy but only figuratively because this one is in the Milky Way and in the realm of Psychology, not Cosmology.
There you have it!
Happy now?
Bado mgumu wa kuelewa,
For all practical purposes, judge/ hakimu na wakili wala hawawezi kui bring up hii article kwenye kesi, kwa jinsi ninavyojua mimi mambo ya bongo. Na hicho ndicho unachoongelea.
Tatizo linakuja, hiyo hiyo sheria unayosema jaji atahukumu kwa mujibu wake, misingi yake, inatetea fair trial, inakataza makamanda wa polisi kuleta speculations katika kesi, kwa hiyo point yangu ni kuwa, kama kuna wakili machachari, anaweza kuitumia misingi ya sheria hiyo hiyo kumtetea mteja wake.
Hilo unalibishia sasa?
... kauli za rejareja za kamanda wa polisi zinaweza kufanya kesi iwe ngumu zaidi kwa upande wa mashtaka unnecessarily.Kama mtuhumiwa anapata wakili mzuri kama ilivyokuwa katika ile novel, wakili anaweza kuanzisha zogo kwamba mtuhumiwa wake ameanza kuhukumiwa na kamanda wa polisi, na magazeti yakaeneza speculations bila ya kuwa na facts.
Mfano na hii kesi una common thread, law enforcement wanaoslack katika wajibu wao wa kuweka mazingira ya fairness.This is what matters, it does not matter if you quote from Virgil, Homer, Confucius, Mkwawa, Umsolopagaas, Sidney Sheldon etc, what matters is one thing, is the illustration valid?
Sijui tatizo kuelewa hapa ni nini?
ni sheria gani hiyo, itaje, ndo nitajua kuwa unaelewa unachoongea. kama unasema ipo sheria, don't speculate, sema sheria fulani ndo inasema hivyo. usilete mambo ya kwenye magazeti na novel hapa mkuu au bwaga ongea point zingine waache wenyewe waongee hapa.
ni sheria gani hiyo, itaje, ndo nitajua kuwa unaelewa unachoongea. kama unasema ipo sheria, don't speculate, sema sheria fulani ndo inasema hivyo. usilete mambo ya kwenye magazeti na novel hapa mkuu au bwaga ongea point zingine waache wenyewe waongee hapa.
Tatizo ni kum lambast Kamanda wa polisi kwa kutumia novel!
Novel ya Kimarekani inaweza kuwa sio valid illustration. Haipigi picha jamii ya Kitanzania. Unakumbuka Form Two tulikuwa tunafundishwa definition moja ya tamthilia : Literature is the author's reflection of social reality.
Ukianza kutumia mifano ya tamthilia kutoka kwenye fiction za "Rage of Angles" sijui "Rage of Anger" unakuwa kama mtu ambae yuko out of touch na jamii yake. I mean, I can care less to read "Rage of Anger" in order to try and understand the social/legal phenomenon ya jamii yetu ya Kitanzania.
Unakuwa kama Mwanakijiji aliyeulizwa na Katibu Tarafa utakuja lini Tanzania kujionea mwenyewe mambo labda ukirudi utakuwa unaandika tofauti, akasema hilo swali hajalichukulia seriously! Ndio wewe sasa, out of touch!
Tatizo ni kum lambast Kamanda wa polisi kwa kutumia novel!
Novel ya Kimarekani inaweza kuwa sio valid illustration. Haipigi picha jamii ya Kitanzania. Unakumbuka Form Two tulikuwa tunafundishwa definition moja ya tamthilia : Literature is the author's reflection of social reality.
Ukianza kutumia mifano ya tamthilia kutoka kwenye fiction za "Rage of Angles" sijui "Rage of Anger" unakuwa kama mtu ambae yuko out of touch na jamii yake. I mean, I can care less to read "Rage of Anger" in order to try and understand the social/legal phenomenon ya jamii yetu ya Kitanzania.
Unakuwa kama Mwanakijiji aliyeulizwa na Katibu Tarafa utakuja lini Tanzania kujionea mwenyewe mambo labda ukirudi utakuwa unaandika tofauti, akasema hilo swali hajalichukulia seriously! Ndio wewe sasa, out of touch!
Novel ya Kimarekani inaweza kuwa sio valid illustration
Literature is the author's reflection of social reality.
Ukianza kutumia mifano ya tamthilia kutoka kwenye fiction za "Rage of Angles" sijui "Rage of Anger" unakuwa kama mtu ambae yuko out of touch na jamii yake.
Mfano na hii kesi una common thread, law enforcement wanaoslack katika wajibu wao wa kuweka mazingira ya fairness.This is what matters, it does not matter if you quote from Virgil, Homer, Confucius, Mkwawa, Umsolopagaas, Sidney Sheldon etc, what matters is one thing, is the illustration valid?
Haya pamoja na mabishano yenu ya kutaka kuonyeshana nani zaidi lakini kubwa ni kuwa masuala ya mahusiano na mivurugano inayotokea kati ya wapenzi inahitaji kiwango kikubwa cha busara once mtu anpokuwa provoked katika kiwango cha juu....Hili la huyu mjeshi kumlima mkewe risasi kwa kweli litakuwa lilimfikisha jamaa mahali pagumu na kufanya alichofanya... Sina jinsi ya kulielezea sana lakini kubwa ni kwamba sheria itachukua mkondo wake....But people you need to be extra careful na hivi visimu vya mkononi katika mahusiano ni vibaya sana kama mtu atatumia isivyo....Sijui na hili nalo tumsingizie shetani kuwa alipita hapo???
Mbeba Maono,
Umesema wakupelekee hii case umtetee mjeshi based on "provocation doctrine."
Naomba uonyeshe statute ya "Provocation Doctrine."
Au kama ni decisional law, naomba uonyeshe authority ya case law.
Ukisema "inaweza kuwa siyo valid illustration" kwa maneno mengine umesema "inaweza kuwa valid illustration", ukisema the glass is half empty" kwa maana nyingine umesema the glass is half full.Ondoa ambiguous statements, sema illustration ni valid au siyo valid?
Nimeshasema, social reality hapa zina coomon thread, kwamba wote tuna rule of law inayojengwa na fairness, a fair trial.Sasa mzozo uko wapi? Au ndiyo hii unnecessary anti-Americanism? Kwamba mtu aki quote kitu cha Marekani watu wanawaka kinafiki wakati at the same time wako Marekani, wanafanya kazi Marekani, wanasoma Marekani?
Wala si kweli, huu ni unafiki wa kimawazo na ufinyu wa upeo.Kwamba mimi nikiona a common theread niogope kutumia mfano ninaoujua eti tu kwa sababu si wa kitanzania? How parochially provincial!
Mimi ninayetoa mifano ya Kimarekani naweza kuwa in touch na sheria kuliko huyo anayetoa gaffes tu, na moja ya sababu za kutoa gaffes ni kwa sababu hajawa exposed.Tunakataa exposure eti tusionekane tupo out of touch na Tanzania, halafu tunataka kuwa lambast makamanda wa polisi wanaotoa gaffes kwa sababu hawana exposure, how absurd.
Nimeshasema,
Do you dispute the validity of a point because of it's source? Wewe si ndiye ulikuja hapa na ku sema hujali pecking order ya JF, unajali point tu?
True objectivity is blind of source, kama
hahaha, wewe, unataka sheria inayoonyesha provocation, ni nyingi mkuu zikikusanywa pamoja ndo utapata kitu kimoja. ila nitakupa mbili tu kwasaabu siamini kama wewe unajua sheria, hata ukipewa nyingi huwezi elewa kitu. Nenda kasome penal code tunayotumia hapa tanzania, na sheria ya ushahidi ya mwaka 1967. ukimaliza hizo nitakupa zingine. sitaki kukutajia vifungu kwasababu hautaenda hata huko kusoma.
kwa upande wa precedents(the one you are calling decisional laws), ni nyingi kishenzi rafiki yangu, nashindwa nikupe ipi, yaani kuna kesi zilianza kuamuliwa tangu karne ya kumi na tisa hadi leo tunatumia, ni maelfu ya kesi(nyingi za uingereza na zipo za tz pia). zilizo nyingi bwanamdogo zinahusu mahusiano ya mapenzi hayahaya.....sasa unaposema nianze kutaja, sikuelewi kwasababu watu tunasoma miaka minne, kwasaba mitano LLB na tunapata kusoma sheria nyingi na kesi nyingi. kama nikiorodhesha hapa hapatatosha, na hauwezi kuelewa, hadi ukasome sheria, ndo maana mawakili wapo pamoja na kwamba vitabu vya sheria vipo wazi kwa kila mtu kuvisoma. kwahiyo kwa hili nashindwa nikusaidie vipi....
sasa wewe ulitaka mimi nianze kuandika sheria hapa kwani nafanya mtihani au naandaa kesi yangu? mimi hapa siwezi fanya hivyo, niko naandika point mbalimbali kwenye topic mbalimbali, siwezi nikacheleweshwa na wewe unaetaka vitu kama hivyo, nenda shule au kachukue mwanasheria yoyote atakusaidia tatizo lako. you say it is arrogance, lakini ya kwako ndo zaidi, kuongelea novel kwenye legal matters, hahahaha. walioandika hizo novel au tamthilia, walisoma sheria au walikuwa waalimu wa secondry na high school....hahaha pole mkuu.
ni sheria gani hiyo, itaje, ndo nitajua kuwa unaelewa unachoongea. kama unasema ipo sheria, don't speculate, sema sheria fulani ndo inasema hivyo. ....
sasa wewe ulitaka mimi nianze kuandika sheria hapa kwani nafanya mtihani au naandaa kesi yangu? mimi hapa siwezi fanya hivyo, ...