Mjerumani akoma, swali juu ya swali

Mjerumani akoma, swali juu ya swali

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
733
Mjerumani alipanda na mswahili lifti kuelekea ghorofa za juu jengo la ghorofa nyingi, akamuuliza mswahili apate kujua
Mjerumani : Hivi ni kweli mtanzania ukimuuliza swali naye anakuuliza swali?
Mswahili : Wewe kakuambia nani?
 
Back
Top Bottom