Kijijini kwetu wanaanza kuiba hizo mbao kwanza!Kwa mazingira ya africa hiyo nyumba sio rafiki wezi watasafisha hadi vijiko
Heri kwenu wanaiba mbao unaweza washtukia na kuokoa zilizodondoka. Kule kwa wahehe wanajidai wataalamu wa kulima miti ya mbao, watakuvizia umelala wanaitia kiberiti tu. Jamii ya kishenzi kabisa. Matokeo yake, mpaka leo wanaishi kwenye nyumba za tope badala ya kuishi kwenye nyumba kama hizo.Kijijini kwetu wanaanza kuiba hizo mbao kwanza!
jamii ya wahehe haijawahi kuwa na roho mbaya mzee acha urongo hata umchokoze huishia kujinyonga yeye ,ni maeneo gan kuna nyumba za tope na miti inalimwa huko thibitishaHeri kwenu wanaiba mbao unaweza washtukia na kuokoa zilizodondoka. Kule kwa wahehe wanajidai wataalamu wa kulima miti ya mbao, watakuvizia umelala wanaitia kiberiti tu. Jamii ya kishenzi kabisa. Matokeo yake, mpaka leo wanaishi kwenye nyumba za tope badala ya kuishi kwenye nyumba kama hizo.