mjengo opposite na st. peters

Uliaga humu? Any way hapa ni mtakuja so siku nyingine ukichoka sepa kimya kimya.
Baada ya wiki nilirudi.
Nilijaribu michuzi blogu nkakuta sio blogu bali ni bomu. Hamna uhuru kama wa hapa kwetu. Nikalazimika kurudi mkuu wangu.
JF haikimbiwi mkuu wangu, ukiona mtu kakimbia ni kweli anasepa kimya kimya.
Baada ya miaka 5 JF itakuwa maarufu kuliko face book nakwambia. lool
 
Aisee naogopa kukujibu!!!
Unaogopa nini? Katiba inakuruhusu kusema bana, kama wanawa-arusha watu siuseme tu!? Uoga ni unafiki na kufisha uhuru wako. Enzi hizo zilikwisha enzi za fikra za Soviet na enzi za fikra za Mao!
 

Hapo ni makao makuu ya ''IDARA'' wenyewe ndio wanavyopaita
 
...Uoga ni unafiki na kufisha uhuru wako. Enzi hizo zilikwisha enzi za fikra za Soviet na enzi za fikra za Mao!
Ndio kwanza unanitisha zaidi. Aisee mimi bado ninaishi enzi za khrushchev na chu en lai. Jamaa wasije wakanibinya korodani!
 
Ndio kwanza unanitisha zaidi. Aisee mimi bado ninaishi enzi za khrushchev na chu en lai. Jamaa wasije wakanibinya korodani!

hahahaha, aisee umenikumbusha mbali, eti korodani....hahahaha
 
lile jengo ni nyumba ya mapadri wa st peters
 
Karibu pale ni hoteli kila mtu anaruhusiwa kuingia bila wasiwasi akajiburudisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…