Mjasiriamali : Utengenezaji wa mafuta ya mgando (ya kupaka)

Mjasiriamali : Utengenezaji wa mafuta ya mgando (ya kupaka)

Ubarikiwe sana Queen Chagga..,

Kwa wale wana JF wanaoshinda mitandaoni kuwasimanga,, kuwasema uongo wachagga kua ni wabaguzi, wezi, na hawafai kuongoza nchi.., nawaombeni muendelee kujifunza hapa ktk uzi huu...

Mnisamehe kwa kusifia wachagga..., tuwavumilie kwa ubinadamu wao lakini tujifunze toka kwao ili tufanye maendeleo kuwazidi wao..
 
Ni msaada mkubwa kwa taifa, hata mawazo pia yangetolewa ili wajuzi wayaongezee na kuyawezesha ktk kuyaboresha. Naamini watu wengi hufa wakiwa na mawazo pevu sana ila wanashindwa kuyaweka ktk utekelezaji wake.
 
queen shukran kwa somo,ila kama hautojali naomba nikudokezee hili kidogo.

Natambua kua ume andika in short,lakini kwenye somo kama hili yakupasa utumie na vielelezo ili mwqnafunzi wako apate kuelewa kiufasaha.mfano hizo materials mwingine hata kuzijua hazijui na hata maduka rafiki ya hizo bidhaa haya jui.Hivyo ni vema sana uka nyambulisha somo.Ili iwe rahisi mtu kuelewa somo.

Ni hayo tuu dada yangu.
 
Pritty..... Nivizuri kuchanganya na virutubisho vya asili ila tatizo unakuwa huna kipimo halisi kuzidisha au kupunguza inaweza leta madhara kwa ngozi ya binadamu....
Kwa mfano naweza kwambia weka muarobaini robo lita... Wewe ukachemsha then ukapima robolita mwingine akablend akapima robo lita vile vile.. Tayar ina kuwa ni vitu viwili tufauti

Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
We unashauti
 
Habari wana JF...
tujifunze utengeneza wa mafuta ya mgando.

MALIGHAFI
1.MICRO WAX
2.WHITE OIL
3.RANGI
4.PERFUME
5.VIFUNGASHIO

JINSI YA KUTENGENEZA

Weka MICRO WAX kilo 1 kwenye sufuria kisha injika jikoni, ikianza kuyeyuka miminia WHITE OIL lita 2 weka RANGI nusu kijiko cha chai kama utapenda.

Ipua kisha weka PERFUME (MANUKATO) kijiko kimoja cha chakula kama utapenda. Acha yaanze kupoa, yakianza kuwa mazito paki kwenye VIFUNGASHIO. yakiganda funga vifungashio tumia au kauze.

Asante...
-Queen Chagga
Asante kwa elim nzuri,, hakuna haja ya veta tena, naomba msaada kidogo

1) Kwa vipimo ulivyo toa napo juu unaweza zalisha mafuta kiasi gani?
2)bei ya maligafi ikoje?
3) bei ya vifungashio ikoje?


Asante
 
Back
Top Bottom