- Thread starter
- #21
Kukuelekeza i prefer pm ili ikiwezekana nikuoe na namba kabisa. Upige simu kama malighafi zipo uende ukiwa na uhakika.Changamoto ni upatikanaji wa malighafi dada yangu! Tuelekeze wapi pa kupata hizo
Kukuelekeza i prefer pm ili ikiwezekana nikuoe na namba kabisa. Upige simu kama malighafi zipo uende ukiwa na uhakika.Changamoto ni upatikanaji wa malighafi dada yangu! Tuelekeze wapi pa kupata hizo
Asante BintieKwa elimu hii bure? Nakosa neno la kukushukuru mwenyezimungu akulipe kwa hili
Okay pm me.Queen,
Nielekeze tu Niko jiji mama yangu
Ahsante.
Asante kwa taarifa, ubarikiwe kwa kazi zako. Tutasubiri tu haina shida.Nipo busy kiasi siku 2 hizi nafanya practicle mtaani kwa walioonyesha intrest thats why hata sijapost new topics nilizopromise.
Unaweza kualikwa mikoani kutoa hilo somo? na gharama zitakuwaje?Nipo busy kiasi siku 2 hizi nafanya practicle mtaani kwa walioonyesha intrest thats why hata sijapost new topics nilizopromise.
AsanteGood thread
Ni pm nijue ni wapi na tuone kama kunauwezekano huoUnaweza kualikwa mikoani kutoa hilo somo? na gharama zitakuwaje?
Poa, nakutumia sasa hivi.Ni pm nijue ni wapi na tuone kama kunauwezekano huo
Asante nasubiria mrejeshoSafi sana dada angu hii nitaifanya vizuri tuu ntakupa mrejesho..,
hey mambo am livia.... sorry can you contact me 0765416728Weka picha kwa stages zote na malighafi
Queen sorry i real need this education am willing to pay for training,,,,,, how do i contact you ? (0765416728)Habari wana JF...
tujifunze utengeneza wa mafuta ya mgando.
MALIGHAFI
1.MICRO WAX
2.WHITE OIL
3.RANGI
4.PERFUME
5.VIFUNGASHIO
JINSI YA KUTENGENEZA
Weka MICRO WAX kilo 1 kwenye sufuria kisha injika jikoni, ikianza kuyeyuka miminia WHITE OIL lita 2 weka RANGI nusu kijiko cha chai kama utapenda.
Ipua kisha weka PERFUME (MANUKATO) kijiko kimoja cha chakula kama utapenda. Acha yaanze kupoa, yakianza kuwa mazito paki kwenye VIFUNGASHIO. yakiganda funga vifungashio tumia au kauze.
Asante...
-Queen Chagga
Du [emoji15]!! kumbe hivi.Habari wana JF...

Vifungashio vinapatikana wapi? Na uwa bei gani?White oil sio glycerine... Upo mkoa gani?? Kwa dar malighafi zinapatikana mwenge au mbagala.. Ukihitaji naimbie nikuelekeze
Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app