Hawa wanaoleta thread za matufaa na mafurusadi humu nahisi watakuwa ni mashoga wa siku nyingi,waliodumu kwenye ushoga.
Maana kama ni kumchinja huyu mama hakuhusika.... Alikuwa Arusha huko. Sasa kama wamemfungulia kosa la kuua. Watashindwa kuthibitisha pasipo na shaka. Kama walivyoshindwa kwa Zombe
Condom nilidhan inaitwa mpira wa kijinsia au zuia virusiNiliweka hapa wengi walinishangaa
nnazo thread nilitaja condom kwa kiswahili inaitwa 'kifudusi'
apple linaitwa 'shufaa'
Kibongo bongo kutajwa tu inaweza kutosha kabisa.
Si umesikia kuna habari zinasema kuwa eti yule mdada wa kazi ndo alimtaja...
Sasa hapa najiuliza...huyo wifi atakuwa ju.ha kiasi gani kumhusisha mdada wa kazi kwenye mpango wa kutoa uhai wa wifi yake?
Pia, huyo mdada wa kazi anasema ukweli kiasi gani? Manake isije ikawa naye anadanganya ili asiendelee kupata joto ya jiwe.
Anyway, nadhani wengi wetu hatuujui ushahidi walionao polisi...hivyo labda wana zaidi ya tunavyojua sisi.
Mkuu we umeona km nilivyoona mm,shtaka haliko sawa hilo,ni sawa na kesi ya zombeView attachment 386827
Miriam Stephen Mrita (41), ambaye alikuwa mke wa marehemu Bilionea Msuya, amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka la mauaji ya dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya.
View attachment 386832
Wakili wa Serikali, Diana Lukondo alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Margareth Bankika kuwa Mei 25, 2016 katika eneo la Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, mshtakiwa huyo alimuua Aneth.
Baada ya kusomewa shtaka hilo, Miriam hakuruhusiwa kujibu chochote kwa sababu mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi za mauaji.
Upande wa mashtaka ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika na iliahirishwa hadi Septemba 6.
Mshitakiwa alirudishwa rumande kwakuwa kesi hiyo haina dhamana.Aneth, ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya, aliuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana Mei 25, 2016 nyumbani kwake Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Maswali:
1. Huyu Miriam Stephen Mrita ni nani?
2. Huyu mama ndiye aliyeshika kisu na kumchinja mtu kweli?
3. Hii haitakuwa kama ile kesi ya Zombe?
4. Nadhani wapelelezi wabadilishe shtaka.
Sawa sawaMaana kama ni kumchinja huyu mama hakuhusika.... Alikuwa Arusha huko. Sasa kama wamemfungulia kosa la kuua. Watashindwa kuthibitisha pasipo na shaka. Kama walivyoshindwa kwa Zombe
Evelyn Salt..Busara hupimwa hata kwa maandishi yakoo...kwa hiyo kwa akili yako ndogo unaona Ni sawa kuingizia ujinga wa Matunda kwenye Uzi kama huu. Au una lako jambo Na akina NN Na T BWe nae Heeee unajikera mwenyewe tu kwani si uruke habari za matunda usome zinazokuhusu mbona unajipa shida?
Vidole vyako tu havifanani sasa utalazimisha watu tufanane? Endelea kujipa kaziEvelyn Salt..Busara hupimwa hata kwa maandishi yakoo...kwa hiyo kwa akili yako ndogo unaona Ni sawa kuingizia ujinga wa Matunda kwenye Uzi kama huu. Au una lako jambo Na akina NN Na T B
linaitwa EpoKiswahili ni lugha pana sana.
Na sisi wazungumzaji wake wengi hatuijui kivile.
Hebu siku moja jaribu kuuliza watu tunda la 'apple' kwa Kiswahili linaitwaje uone...
Sio lazima ashike kisu amchinje ndio awe kwenye kesi ya kuua, kuna hizi nadharia; conspiracy, motive behind and being an accessory to murder (wanasheria mzielezee kwa mapana yake) zinaweza kuwa sehemu ya kushiriki kwenye tukio.Maana kama ni kumchinja huyu mama hakuhusika.... Alikuwa Arusha huko. Sasa kama wamemfungulia kosa la kuua. Watashindwa kuthibitisha pasipo na shaka. Kama walivyoshindwa kwa Zombe
.....Kwasababu wengi ni "rais" kudaganyika ......
Km ni hivo sidhani wanafanya sahihi sababu huwezi kuwaumiza wengi kwa michezo ya wachache hoja bado kodi ya magari tza ni kubwa sana mara mbili ya kununulia gari, waangalie nchi zingine wanafanya vip kodi inatakiwa iwe rafikiNdio hivyo wanavyofanya. Na wmefanya hivyo kwasababu ya ujanja wa kibongo bongo kuzidi. Walipokuwa wana-calculate kwa kutumia bei ya manunuzi watu wakajiona ni wajanja, hivyo mtu akinunua gari kwa mfano dola 4000 anaongea na muuzaji anamwambia aandike 600 ili ushuru upungue. Hivyo ikabidi sasa watumie bei ya lile gari na model linapokuwa jipya halafu wanafanya depreciation kulingana na miaka gari lilivyotumika na kupata common price kwa magari yote yanayofanana. Huyo jamaa mwanzisha thread alikuwa bado anadhani zinatumika kanuni za zamani.
Wakati mwengine unaweza kushangaa sana hasa ktk matukio maovu kama haya..kinachoshangaza ni hapo wauaji walipokuwa wanampa h/girl reported kama ndiye kawatuma kazi,pia walishindwa kabisa kufahamu kwamba h/girl atakapokosa kuonekana ghafla halafu boss wake anapata matatizo suspect wakwanza angekuwa yeye.mwisho kabisa walishindwa kutambua kwamba mtu..kwanza mwanamke ni dhaifu akitishwa kidogo anamwaga mboga,pia kama hakuwahi kushiriki jambo kama hili anapata kuweweseka so ilichangia sana kuwajua wauaji..ni kusema kwamba Mungu alitaka kuyafichua maovu ya mtu mmoja ndo maana wote walipanga mission kwa kujiamini ila wakasahau kosa dogo mno lililowakamatisha.
Englisha-Swahili Dictionary wanaandika eti tunda la kizunguKiswahili ni lugha pana sana.
Na sisi wazungumzaji wake wengi hatuijui kivile.
Hebu siku moja jaribu kuuliza watu tunda la 'apple' kwa Kiswahili linaitwaje uone...
kweli mkuuBora Mungu anipe hivi visenti vidogo vya kumiliki vi RAV4 na kanyumba kamoja... watoto wasome shule za maana na baba nikate kiu kwa vibia viwili vitatu... inatosha. Zaidi ya hapo ni kumkaribisha shetani kwa my wife wangu