Sasa hyo habar ipo clouds hata nw unaweza iona ktl updates za habar yao
inaonekana hao ndugu hawaijui sheria
Sana yaan..uonevu haswa yaan.m sjapenda hii
pole sana, najua hili litakuwa limekuumiza sana.
binadamu ndiyo tulivyo. Kuoneana kumezidi.
ila ujue hakuna atakaeishi kwenye hiyo nyumba na kubaki salama. no one!!
Nimeiona habari hii leo katika kituo kimoja cha televisheni. Ni kwamba mjane (yaani mwanamke aliyefiwa na mumewe) siju nne zilizopita, anafukuzwa ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe. Ndugu wa marehemu yaani mume wa mjane huyo ndio wanaoshinikiza mjane huyo atoke na kuwaachia nyumba.
Kiukweli nyumba ni nzuri sana tu, na ninahisi wamezuzuka na ghorofa lile. Na majirani wa mjane huyo wanasema hiyo nyumba zamani ilikuwa club, sasa mjane na mumewe enzi za uhai wake wakainunua hiyo nyumba na kuikarabati.
Hivi hii ni haki kweli jamani? Mtu kasota na mume wake mwisho wa siku kisa kaka yao amefariki ndo wamfanyie hivyo mjane huyo!!! Loh! Binadamu sisi.
Hebu tujadili hili wana MMU
Sheria za Tz ni za hovyo sana...huwezi zijua mpaka uende mahakamani...
Kuzaa inaweza ikawa serious issue depending wamefunga ndoa ya aina gani...ndoa za kimila kwa mila nyingi ni za hovyo kabisa...bora mmalizane kimjini mjini...
Sheria ni mbovu...inatakiwa iwe ni crime kumfukuza mtu nyumbani kwake...
Tena inatakiwa iwe iwe first degree felony - the most serious felony charge.
How the hell can you put someone out of his/her house?