Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

malisak

Platinum Member
Joined
Mar 16, 2006
Posts
739
Reaction score
852
Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakayefunga nae ndoa.

Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea, habagui kabila Wala rangi ila akipata muislam atashkuru zaidi sababu yeye alishatoka ukristo na kuingia uislam hataki kuyumbisha watoto.

Kipato chochote yupo tayari kusaidiana maisha. Yupo tayari kwa mwanaume alie serious kabisa waweze kuzungumza na kukubaliana. Alie tayari aje inbox nimuunganishe nae nitampatia na namba waendelee.

Kwa yeyote anaetafuta mchumba serious Kabisa awe mwanamke au mwanaume aje na sifa zake inbox nitampostia hapa awe serious nasisitiza Watu wanataka mahusiano na sinkuchezeana.
 
45 ni mchumba au mchimbuo?
20250518_193941.jpg
 
Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakaefunga nae ndoa. Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea,habagui kabila Wala rangi ila akipata muislam atashkuru zaidi sababu yeye alishatoka ukristo na kuingia uislam hataki kuyumbisha watoto.Kipato chochote Yupo tayari kusaidiana maisha. Yupo tayari Kwa mwanaume alie serious Kabisa waweze kuzungumza na kukubaliana. Alie tayari aje inbox nimuunganishe nae nitampatia na namba waendelee.

Kwa yeyote anaetafuta mchumba serious Kabisa awe mwanamke au mwanaume aje na sifa zake inbox nitampostia hapa awe serious nasisitiza Watu wanataka mahusiano na sinkuchezeana.
Moja wapo ya sababu za ndoa ni kutaka kupata watoto, sasa umri huo nadhani kipindi cha uzazi (reproductive age) imeshapita, Hivyo hata show itakuwa haina maana ni Sawa na kutwanga maji Tu!😁😁
 
Amekutuma

Au umemtumia sasa unamtafutia mume ili akusaidie kumtunza ukihitaji unajisevia.

Alitakiwa aje mwenyewe
 
Moja wapo ya sababu za ndoa ni kutaka kupata watoto, sasa umri huo nadhani kipindi cha uzazi (reproductive age) imeshapita, Hivyo hata show itakuwa haina maana ni Sawa na kutwanga maji Tu!😁😁
Umekosea sana, ni wajinga pekee hudhani ndoa ina umri na kwenye ndoa lazima mpate watoto,
Kwa umri wake haitaji mtu anayetaka watoto bali anahitaji mwanaume matured enough waenjoy maisha yaliyobaki, huo ndio umri wa kuizunguka dunia, kula bata hadi kuku waone wivu, miaka 65 mtulie, muuguzane miaka 70 mzikane.
 
Well said mkuu Kuna muda mtu anatafuta furaha na kuwa na msaidizi ni muhimu maana ubinadamu una mambo mengi ndio akose hata wa kumpa maji akipaliwa usiku kisa umri?
 
Moja wapo ya sababu za ndoa ni kutaka kupata watoto, sasa umri huo nadhani kipindi cha uzazi (reproductive age) imeshapita, Hivyo hata show itakuwa haina maana ni Sawa na kutwanga maji Tu!😁😁
Sio wote wanahitaji watoto Kuna wagane pia hawahitaji watoto wa ziada wanahitaji wenza wa kuwapa company kumalizia muda wao nao wasitafute wenza?
 
Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakayefunga nae ndoa.

Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea, habagui kabila Wala rangi ila akipata muislam atashkuru zaidi sababu yeye alishatoka ukristo na kuingia uislam hataki kuyumbisha watoto.

Kipato chochote yupo tayari kusaidiana maisha. Yupo tayari kwa mwanaume alie serious kabisa waweze kuzungumza na kukubaliana. Alie tayari aje inbox nimuunganishe nae nitampatia na namba waendelee.

Kwa yeyote anaetafuta mchumba serious Kabisa awe mwanamke au mwanaume aje na sifa zake inbox nitampostia hapa awe serious nasisitiza Watu wanataka mahusiano na sinkuchezeana.
Karibu
 
Back
Top Bottom