Inawezekana usiwe mtoto kama anavyosema ila unaitwa mtoto kwa sababu bado hauna experience ya maisha, vitu vingu hauvielewi kwa undani, tunategemea ufanye makosa ya kitoto na kweli unafanya, hata hii comment yako ni kiashiria wewe ni mtoto na kwa sababu ya utoto utakasirika mimi kukwambia hivi, na kwa sababu ya utoto utazuga kutokukasirika.23 yrs unaita ni mtoto tena jmn shida mnatudharaugi sana mtu akijua ni 2000 basi anaona maisha hujui kabisa
HahaahaaaaInawezekana usiwe mtoto kama anavyosema ila unaitwa mtoto kwa sababu bado hauna experience ya maisha, vitu vingu hauvielewi kwa undani, tunategemea ufanye makosa ya kitoto na kweli unafanya, hata hii comment yako ni kiashiria wewe ni mtoto na kwa sababu ya utoto utakasirika mimi kukwambia hivi, na kwa sababu ya utoto utazuga kutokukasirika.
Reverse psychology?Hahaahaaaa
Jibu matata sana hili. Response kama hizi zina jina lake kwenye psychology/philosophy ila nmesahau
Kuna kitu hakiko sawa.....Salaam,
Ndugu zanguni sidhan kama ni mm pekee ndo nimeona hili. Hawa watoto wa 2000s -23 yrs old and below ukikuta kaharibika basi kaharibika sana (what went wrong?) na ukikuta anajielewa basi anajielewa zaidi ya mtu wa miaka 30 na alichokosa tu ni experience (what went right?)
Hapa mjini tunaona vijana wengi wa 23 yrs & below wakiongoza kujihusisha na mambo yasiofuata maadili kama vile utumiaji vilevi, umalaya na ushoga.
Lakini pia ukienda maofisini siku hizi unaweza kuta kijana mdogo lkn anjua vitu hadi anakera. Yaan ijumaa nilienda kumtembelea rafiki yangu pale Deloitte nimekutana na associate mmoja dogo dogo tu ila aisee the kid was bright. Na hii sio mara ya kwanza.
Watoto wa 2000s ni aidha anajielewa au kashapotea hakuna average, midrange.
So what went wrong and what went right?
kwa sababu ya utoto utakasirika mimi kukwambia hivi, na kwa sababu ya utoto utazuga kutokukasirika.
Mmmh hapo sijui mkuu, ila kwa hakika ulichokisema kipoJe ni zile chanjo za matone au vile vyandarua vya bure?
Hii ni ukisimama nchale ukikaa nshale, ukilala nchale, yani iwe isiwe ni nchale😁Hahaahaaaa
Jibu matata sana hili. Response kama hizi zina jina lake kwenye psychology/philosophy ila nmesahau
You see the thing is unaposikia madhara ya bangi ndiyo hayo sasa na unaposikia faida ya bangi ndiyo hayo hayo tuSalaam,
Ndugu zanguni sidhan kama ni mm pekee ndo nimeona hili. Hawa watoto wa 2000s -23 yrs old and below ukikuta kaharibika basi kaharibika sana (what went wrong?) na ukikuta anajielewa basi anajielewa zaidi ya mtu wa miaka 30 na alichokosa tu ni experience (what went right?)
Hapa mjini tunaona vijana wengi wa 23 yrs & below wakiongoza kujihusisha na mambo yasiofuata maadili kama vile utumiaji vilevi, umalaya na ushoga.
Lakini pia ukienda maofisini siku hizi unaweza kuta kijana mdogo lkn anjua vitu hadi anakera. Yaan ijumaa nilienda kumtembelea rafiki yangu pale Deloitte nimekutana na associate mmoja dogo dogo tu ila aisee the kid was bright. Na hii sio mara ya kwanza.
Watoto wa 2000s ni aidha anajielewa au kashapotea hakuna average, midrange.
So what went wrong and what went right?
Mabadiliko tu na utandawazi.Salaam,

Khaaa jmn mm nina 30 yangu hapa nimeongea tu kwa niaba ya wa 2000😀😀😃😃Inawezekana usiwe mtoto kama anavyosema ila unaitwa mtoto kwa sababu bado hauna experience ya maisha, vitu vingu hauvielewi kwa undani, tunategemea ufanye makosa ya kitoto na kweli unafanya, hata hii comment yako ni kiashiria wewe ni mtoto na kwa sababu ya utoto utakasirika mimi kukwambia hivi, na kwa sababu ya utoto utazuga kutokukasirika.
Kinachofanya mmoja apende upande huu (what went right) na mwingine upande huo (what went wrong) ni nn?Mabadiliko tu na utandawazi.
So, ni maamuzi dogo ajihabarishe upande gani.
Nna dogo anakuja hapa mara moja moja yuko form 3 ni programmer na self taught yani yeye akikamata sim au pc ni youtube na kusoma masuala ya programming. Halafu nnaye mwingine yeye ni full diamond, story za wasafi akina paula mzee wa kila kitu unyama mwingi.
So no utandawazi na sio kusema hata huyu hajui vitu anajua vitu vingi tu sema ukimwona amebase upande huu mwingine
Na kuchagua kama ilivyo kwa binadamu wengine. Utakuta wewe wapenda móvie za action na mwingine za romance. Hiyo ndio hulka ya mwanadamu.Kinachofanya mmoja apende upande huu (what went right) na mwingine upande huo (what went wrong) ni nn?