Mjadala wa Pili wa Wizara ya Nishati na Madini: Ngeleja kujiokoa?


Hapo kwenye red. Ni serikali sikilizia.
 
Mh speaker kawadifem watu wafupi just joking though kuna ukweli kwenye hoja yangu
 
Hii "bajeti ya Ngeleja" itapitishwa bila kupinga maana wabunge wanataka "kuanza week end mapema" - Ukitizama hata "reaction" yao it tells kuwa "wana haraka" ya kumaliza na kuendelea na "mambo yao" ya mwisho wa wiki... shame!
 

Hii kasumba ya kila wakati kutulinganisha na nchi zingine inaudhi na inachefua. kama hivyo basi na sisi tuwe kama Libya, Tunisia na Egypt.
 
Mh. Ngeleja anataka watanzania tuamini na tusadiki kwa imani yaani kama Kristo.
 
Hiyo budget ikipita mzigo wa deni la TANESCO kulinusuru ni kuongeza tarrif tu kwanini serikali isitoe subsidy kwa kubana posho, vikao, mabaraza ya wafanyakazi,gharama za sabasaba na nanenane , vitafunwa etc
 
Mnyika anatoa hoja iweje wizara iache mapendekezo ya vyanzo mbadala vya mapato badala ya mkopo.
 
Waziri anajifananisha na marekani kuhusu mkopo na hajajibu hoja ya vyanzo mbadala vya fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…