hi kali kifungu kimoja wachangiaji bunge zima leo sijui itakuwaje?
sasa mtayaonajengeleja anaonekana ku constrate na kinachoendelea lakini naibu wake malima anafanya mambo ya ovyo kunyooshanyoosha midole yenye pete
semina zinafanya kaziAnna Kilango Watanzania wote wanatuangalia kwenye TV zao....!!!!,
Hivi hajui kwamba watanzania wengi hawana TV let alone umeme...????
Alafu kama kawaida anaisifu serikali na Ngeleja kwa kuwa wasikivu...
This Country..!!!! Amazing!!!!
Anna Kilango Watanzania wote wanatuangalia kwenye TV zao....!!!!,
Hivi hajui kwamba watanzania wengi hawana TV let alone umeme...????
Alafu kama kawaida anaisifu serikali na Ngeleja kwa kuwa wasikivu...
This Country..!!!! Amazing!!!!
Safi sana Cheyo: Anauliza hii miradi yote inategemea mafuta ambayo serikali itatoa ..., Hivi haya mafuta yatatoka wapi na pesa za mafuta zitatoka wapi?
Pia Ngeleja katumia dakika tano kuongelea Madini na dakika zote kuongelea Nishati..., hivi kwanini hii wizara isitenganishwe..?
Naona jamaa leo angalau anatumia busara
<br />ngeleja anaonekana ku constrate na kinachoendelea lakini naibu wake malima anafanya mambo ya ovyo kunyooshanyoosha midole yenye pete
Naomba kuongeza serikali usanii.hata hili la leo ni hadithi tulizozizoea hakuna jipya.Kenya na Uganda hawana makaa ya mawe,hawana akina mchuchuma.......Hapo kwenye red. Ni serikali sikilizia.
Nilishasema once na ninasema tena..., kama Mzalendo hii nchi haitakwenda bila CCM kufa.....!!! hapo ndio kutakuwa na upinzani wa kweli na watu watatumia busara kuongelea mambo na sio maslahi yao....,The death of CCM for the betterment of Tanzania
Mimi ni nani na ninahusika vipi..???...Malizia hapo kwenye nyekundu, kuwa na wewe...