Mjadala wa leo: Mapenzi au biashara?

Mjadala wa leo: Mapenzi au biashara?

🔥

Kuna kauli imeibua mjadala mzito:
Mtu hakupatiwa mapenzi kwa wiki mbili hadi aliponunua iPhone! 😳

Swali ni hili👇
Je, mapenzi ndani ya ndoa yanapaswa kuwa na masharti?

👉 Je, ni sawa kusema: “Nifanyie hiki ndipo upate mapenzi”?
👉 Au hii ni dalili ya mapenzi kubadilika kuwa biashara?
👉 Je, zawadi zinapaswa kuwa sehemu ya “exchange” ya mapenzi?

💭 Wengine wanasema:
✔ Ni haki kudai kuthaminiwa (hata kwa vitu)
✔ Ni njia ya kuonyesha value yako

Lakini wengine wanapinga vikali:
❌ Mapenzi si bidhaa ya kununua
❌ Hii inaua hisia za kweli na kuleta presha
❌ Inaondoa heshima ya ndoa

🔥 SASA NI ZAMU YAKO:
Wewe unaonaje?
Ni sahihi kuweka masharti kwenye mapenzi au huu ni mwanzo wa kuharibu mahusiano?

👇 Drop maoni yako hapa, tusikie pande zote!
Mijadala ya kitoto kabisa hii, pengine mtatutendea haki kwa kuibakiza huko huko kwenye platform zenu, mjadili huko huko. Hii ni level ya watoto wa form two, wanaoanza mambo ya mapenzi. Upumbavu mtupu.
 
Back
Top Bottom