Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo
Kolokolochocho unateseka ukiwa wapi mkiaUnajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo
Port HarcourtKolokolochocho unateseka ukiwa wapi mkia
MBUMBUMBU MKACHAMBE NAONA MNAWASHWA.Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo
Tufunge mjadala sasaUnajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo
Hata jezi mlisema zimeisha ndani ya masaa 3
Una matatizo wewe sio bure unataka kusema unashindana na nani kuujaza uwanja, Yanga ilishatoka uko kwenye mambo madogo kama ayo ya kujaza uwanja labda mjadiliane na azam au namungo uko sio yanga, yanga inaweka rekodi zake na inazivunja yenyewe mnashindana na kivuli chenu kujaza uwanja sio yanga mzee, Pesa mliyowapa clouds na kina mwinjaku kuwapgia debe ni bora mngemlipaga manara mshahara wake maana imejionyesha dhahiri shairi kuna bugati mmoja tu Tanzania akiunguruma mnajikusanya kama kumi kujaribu kumfunika lakini wapi Sana sana ni kutumia nguvu kubwa kuwalipa watu tunajua tutazirudisha kwa kujaza matangazo kwenye jezi burr🤣🤣🤣🤣🤣Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo
Hahahaha tunaomba picha jamani,haiwezekani tamasha kama hili liwe na picha moja tuu mitandaoni.