Leo 22/02/2011 saa tatu usiku ITV/Radio one wangekuwa na mjadala kuhusu sakata la DOWANS lakini kutokana na sababu zisizofahamika wameibuka sekunde chache zilizopita na kutangaza hawataweza kurusha tena mjadala huo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao kulikoni ITV/Radio one nini kimewakumba au ..................... dogo kawapiga stop?
Kweli kabisa mkuu. Wakitukatia kitu kidogo tunaachia. Tumeishagundua njia rahisi ya kupata Pesa.Sasa nasubiri wakipiga stop mijadala ya DOWANS hata humu jamvinni!
ITV wako kibiashara zaidi
mafisadi wamenunua shoo.