Mjadala wa Bashite wazidi kutanuka

Kama kuroga ni ishu na ww kamloge Magu atengue kauli yake amg'oe Makonda....Makonda ni lulu kwa vijana wa sasa hasa mateja....lazima tumuunge mkono hasa sisi wenye uchungu na nguvu kazi.

Huu ndyo ukilaza. Huyu ndye mnamuita lulu wa vijana wakati ni lulu ya wauza madawa wakubwa. Wanaume wa dar bwana!
 

Unajua kukujua tu wewe ni mchafu ni akili pia. Bashite jicheki bro.
 


Na kama uhakiki ulifanyika aliyehakiki mpaka sasa anafanya nini kukanusha huo uvumi ?
 
Makonda alipata zero kwa jina la Albert
Unaweza kuthibitisha kiongozi? Natamani kuona mtu anatoa evidence beyond reasonable doubt kuwa jamaa amenunua jina baada ya kuzungusha.
 
Makonda hakupata zero aliyepata zero ni bashite yule wa kolomije misungwi mwanza. Kwa sasa ni mkuu wa mkoa dar. Nampa pongezi maana hata manaume wa dar wote ni vilaza.
Constructive arguments hazihitaji watu kama wewe, wanaume wa Dar wameingia vipi kwenye hoja yako??
 
Constructive arguments hazihitaji watu kama wewe, wanaume wa Dar wameingia vipi kwenye hoja yako??
Soma previous argument zangu za nyuma kwenye huu uzi ndyo uelewe. Usikurupke mkuu
 
Unaweza kuthibitisha kiongozi? Natamani kuona mtu anatoa evidence beyond reasonable doubt kuwa jamaa amenunua jina baada ya kuzungusha.
Mkuu Elli, unataka uthibitisho gani?
Risiti ya kununulia vyeti?
Unaumbuka yule mteuliwa wa rais JF ilivyomtuhumu kuwa ni meneja wa hotel sinza?
JPm akamsimamisha na vyeti vyake ikulu na mjadala ukaisha.
Sasa why difficult Makonda kuweka vyeti vyake hadharani?
 
Unaweza kuthibitisha kiongozi? Natamani kuona mtu anatoa evidence beyond reasonable doubt kuwa jamaa amenunua jina baada ya kuzungusha.

Ni aibu sana kupata SIFURI.......nilicheza sana kipindi nasoma lakini sikupata ng`anda
 
Sio kipaumbele kwa maisha ya watanzania wa sasa...
 
Mbabe wa vita jamaa yulr genaral Makonda hatari sana na sasa amepata nguvu mpya....gwajima anachia hewa chafu
 
Wangapi waliokuwa wakizipenda kazi zao na kutumia vyema nafasi zao lakin walipojulikana tuh wamefoji vyeti hawakupewa mafao yao pindi walipo stafu.. Unataka yeye haachwe haki isitendeke kwake, yeye Nabii au
 
Shuhuli anazofanya za kukushuhulikia chumbani sisi tutaonaje Ndugu ? Tuone vyeti ili tujue Nani Bashite na nani Paul
 
Anavyokaa kimya anajichelewesha tu. Na kujiandalia aibu ambayo atajuta kwa nini hakuwa wazi mapema. Le mbebez shati la kufunika vitz ndo mshauri wake haaaaaa haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…