RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 337
mimi sijawahi kuulizwa hayo maswali!
mimi sijawahi kuulizwa hayo maswali!
swali la 3: nina sikia wanakupima tu ili. ata ukisema wakulipe laki 3. sio kwamba utalipwa hiyo. kwenye mkataba ambao tayari umeshaandaliwa unakua unahiyo ammount. pia kwa uhakika unaweza fanya research about hiyo company. ujue watu walioanza fani hiyo wanalipwa tsh ngapi. let's us say tsh 600,000.
graduate unaweza sema kama hivi:
as a graduate, i am looking on a platform where i will show my talents and skills also the place where i will acquire knowledge and experience. for now i am not much interested on money. but i hope ur company will not let me down, you will pay me a good salary to support life in this town and according to your company's standard.
wakikubana sana ammount utaje, unaweza sema range kama
i think tsh 500,000 to 600,000 will be good for both of us.
hafu ndio mtaanza kunegotiate. usitaje kubwa sana wala ndogo ana.
Kuna rafik yangu wa tz aliulizwa ungependa ulipwe shilling ngapi? Yeye akatabasamu na kusema million moja na nusu si mbaya kwa kuanzia mkinipa
alikosa kazi sasa sijui hiyo inaweza kuwa sababu tu
Kuna rafik yangu wa tz aliulizwa ungependa ulipwe shilling ngapi? Yeye akatabasamu na kusema million moja na nusu si mbaya kwa kuanzia mkinipa
alikosa kazi sasa sijui hiyo inaweza kuwa sababu tu
Je swali kama hili ikiulizwa utajibu vp?What is your greatest weakness? Secret service tafadhali majibu.
Mimi interview ambazo nilishafanya maswali huwa tunatumia english sasa kama nitakujibu ndivyo sivyo am sorry.
1. kwa nini umechagua kuomba kazi kwenye kampuni yetu / shirika letu.
2.Unadhani kwa nini tukuchague wewe na si mwingine kwa nafasi hii (nafasi uliyoomba)
3. Unatarajia tukulipe mshahara kiasi gani kama tukikuajili
majibu kwa mtazamo wangu.
1.kabla ya kujibu swali hili kama kampuni ina website neda huko jifunze mission and vision za kampuni hiyo,values kama zipo basi wakati unajibu hautumii exactly maneno ya kwenye mission na vision yao ila unakuwa huchezi mbali na maeneo yao.
"You are a growing company,I would like to be part of you are family so that I can contribute in attaining your long and short term goals(kama unazijua unazitaja),you value... and so do I,thus I believe we can work together to attain your mission/long term goals.Kumbuka "values" ni vitu ambavyo vinasaidia kufikia "mission" hapa kampuni nyingi sorry siyo kampuni kwani kampuni ni watu,watu wengi hawajui.
2.Why should we hire you?Unachotakiwa kujua mpaka umeitwa kwenye interview wamekuona unaweza kufanya nao kazi,interview ni sehemu ya kutaka kujua je wewe uko ulivyosema uko,do you have the skills sasa kama uli copy na paste maneno matamu bila kuyajua maana yake itakula kwako.
Ila kabla ya kuendelea kufaulu kwako interview inategemea sana na uelewa wa watu wanaokufanyia usairi,kuna mwingine unaweza ukajibu akaona umechemka kutokana na ufahamu wake nitatoa kazi mwishoni.Nirudi kwenye jibu "ukijibu because I have the right qualification/I qualify enough ndugu yangu kila aliyeitwa kweny hiyo interview anaqualify that is why ameitwa".
Kwa mtazamo wangu kwa sababu job description utakuwa unaijua,elezea ufahamu ulio nao,kazi ulizofanya ila katika uelezeaji connect na kazi husika inataka vitu gani.Kwa mfano mimi ni IT boy,so dont take it personal.
"the course I studied at univer.. especially in networking,database admin,the work I did with company x,y and z enabled me to develop knowledge and skills that match with your job requirements.Thus I strongly(do not say I think ) believe I am the right candidate for this job."Huu ni mtazamo wangu tu .
3.Swali la tatu naona watu hawataki shida,eti "according to your salary scale'" kwangu mimi sikushauri hili liwe jibu.Hii inaonyesha you do not know your value,unataka kampuni ikuthaminishe,si kampuni zote zina salary scale,zingine ni jinsi ulivyo negotiate,au hamjhui kuna kampuni watu wanafanya kazi moja,experience sawa ila mishahara tofauti?Ofcourse hata yangu itakuwa hivyo .Why?Mshahara unategemea experince yako na uwezo wako ukiacha mambo ya shule,jiulize.Hujawahi kusikia kampuni inalipa pesa nyingi kwa mtu aliyesomea nje ya nchi kuliko wa ndani?Hata kama hukubali zipo.
ladba niwasaidie how do you come to how much you should be paid hasa kama ni kazi yako ya kwanza .Kuna vitu huwa tuna angalia baadhi ni
1.Kodi ya nyumba,umeme na maji unalipa sh ngapi kwa mwezi/
2.Nauli za kwenda na kurudi kazini kama hawatoi usafiri,hizi information unatakiwa uwe nazo only if you are a serious job seeker na haudip(mtaani kubeep wanaita kudip na maisha yanaendelea).
3.Chakula kwa siku wewe na familia yako kama ipo kwa wastani
4.Mavazi
etc
the list may continue,mwingine anaweza weka bia,au fungu la kumi nakuamsha macho.
Sasa ukijumlisha hizo utapata kwa wastani basic needs zako ni sh ngapi,then ujue take home inakuwa ni kama 0.677 ya gross.Tafuta gross sasa kama Maths ni shida mi simo.Figure utakayopata utailinganisha na rate ya mishahara yao only kama unaijua kama huijui you are safe kwani wakikubali kukupa hiyo pesa uliyosema isipokutosha ni wewe mwenyewe ulikosea kwa mfano hapo juu sijaweka "saving" je huna mapango wa kuwa unasave hata elfu 50 kila mwezi?kama unampango wa kusave unaiongeza.
Sasa linganisha atakaye sema "pay me according to your salary scale" na yule atakayekuwa amefanya nilivyoshauri.wakiluizwa "why do you want to be paid that amount?"Aliyefanya nilivyoshauri anachakuelezea house rent,transport,I do saving etc.Je wa pili atajieleza vipi?Je atasema because it is your salary scale for this job?Kumbauka hata kama unaujua mshahara halisi hutakiwi kuonyesha unaujua.
Kwa yule atakayejibu kwa kutoa renge say Tsh500,000 to Tsh500,000 ,kama kampuni liko serious wanaminimize cost unadhani utapewa maximum?Watakulipa minimum in that case 500K
Taja udhaifu ambao ukiwatajia utakujenga na si kukubomoa. Pia watajie udhaifu ambao unarekebishika na uwaambia unaufanyia kazi kuurekebisha. Mfano huwa nina loose temper nikiona watu ninaowasimamia wanafanya mzaha kwenye task muhimu,lakini ninafanya some initiatives ku control. Kwa hili boss yeyote atakupenda kwani kila boss anapenda watu serious. Pia waweza sema i am shy in public presentations but i am attending some trainings and keep on practicing on that.What if nikiulizwa udhaifu wangu ni nini? Hilo ni swali gumu kidogo