Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,041
Swali gumu hilo unatakiwa utulie kama secunde 15 ndio ujibu ni kwasababu una uwezo wa kutekeleza majukumu utakayo pangiwa kwa ufanisi kulingana na vigezo vyako.
Mkuu, hilo jibu ulilompa ni la kiujumla sana, na inawezekana ulishalijibu kwa vyeti na maelezo ya awali kabisa. Kwanza hili swali mara nyingi huulizwa mwishoni na haswa ni ktk usahili unaohusisha wasailiwa wengi.
mkuu naomba uniPM hayo maswaliuncle naomba kama unaweza watumie na hao wengine walioomba hayo maswali, nimeshindwa ku upload kwa simu yangu.
Interview ikiisha usisahau kuchukua Namba za wenzako itakusaidia sana kupata update kwmb nn kiliendelea,pia itakusaidia kwny connection sababu wengine unakutana nao kwny interview moja utakuta ww hauna kazi ila wao wamekuja kufanya interview kubadili mazingira ya kazi au kufuta masirahi makubwa zaidi.
So usivimbe boya wee jifanye kama jinga fulani chunguza kila mmoja force upate na namba zao.
"Nothing can replace experience"Mfano mzuri tu nilikuwa tanga mwezi wa saba kulikuwa kuan Interview pale mamkla ya maji walio itwa kwa usahili walikuwa wachache sana 4 ila aliye pata job appearance and dress code was mbaya ilikuwa siyo kiofice wana JF alikuwa anamadevu kama osama shirt ya mikono mireku kakunja amenyoa kipara midevu kaiachia.
Pili swala la muda alichelewa kwanza kama 15mins jinalake lilipoitwa kwaajili ya kuingia kwa chumba cha interview walipotaka kumwita mtu mwingine ndio akawa ametokezea na akaingia sasa hapo niambie FL1 akili yake ilikuwa imetulia kweli na akaweza kujibu vizuri na akapata kazi?? mavazi yake na mwonekano wake tu? Ilikuwaje Meza kuu inayo wasahili ilimpitiusha huyo bwana?? Pili ilikuja kugundulika elimu yake ilikuwa ndogo zaidi kuliko ya wale wengine watatu?
Me nadhani kuna tatizo pia kwa jopo au meza kuuu inayowashili wanaoomba kazi.
Mie kwakweli ktk swala la usahili TZ kunavituko na vimbwanga vingi sana.
Pia walioajiliwa wengi wakuta sio elimu walizo somea na ungugunisation ni mkubwa kupita kiasi.