Rock City
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,266
- 501
Ni katika kipindi cha tuongee asubuhi ukiwajumuisha Sungura (NCCR mageuzi), Nape (CCM), Mtatiro (CUF).
Wapo kujadili "utenguzi wa mawaziri".
Nape:
Viangaliwe mifumo, sheria na watu katika kusimamia. Adai tume huundwa na kutumiwa kama vichaka vile.
Mtatiro:
Yapo matatizo ya ombwe la kiuongozi katika nchi na uendeshwaji wake, hususan dola iliyopo madarakani.
Patrobas(Mwanza studios):
Kuendesha nchi kwa operesheni ni dalili za kushindwa uongozi.
Amuombea Nape ateuliwe ubunge na uwaziri ili naye apimwe kiutendaji.
--------------------------------------
Wapo kujadili "utenguzi wa mawaziri".
Nape:
Viangaliwe mifumo, sheria na watu katika kusimamia. Adai tume huundwa na kutumiwa kama vichaka vile.
Mtatiro:
Yapo matatizo ya ombwe la kiuongozi katika nchi na uendeshwaji wake, hususan dola iliyopo madarakani.
Patrobas(Mwanza studios):
Kuendesha nchi kwa operesheni ni dalili za kushindwa uongozi.
Amuombea Nape ateuliwe ubunge na uwaziri ili naye apimwe kiutendaji.
--------------------------------------
Nape anasema haya matatizo kinana aliyaona kwenye ziara zake mikoani ndio akaitisha kamati kuu ya chama haraka na kuwaita mawaziri kuwahoji
Sungura: Yaliyotokea ni matokeo ya utekelezwaji wa sera za CCM iliyotolewa mwaka 2010. Yaliyotokea yalijulikana na balozi, kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, wizara.
Chama legelege huzaa serikali legelege.
Nape: Akanusha kilichoongelewa na Sungura juu ya "Utekelezwaji wa sera za CCM". Amekanusha.
Adai baada ya kubaini malalamiko katika operesheni, wakaamua isimamishwe haraka. Na sasa, wanawajibika waliopewa dhamana hiyo.
Kwa mara ya kwanza katika operesheni Tokomeza yaliibuliwa Meatu, tena wananchi kumlalamikia Kinana kwenye ziara ile, ambapo ndani ya kikao cha ndani cha CCM, rais alikiri kuwepo kwa malalamiko.
Kwa mujibu wa Mtatiro, CUF ilimwandikia waziri mkuu Pinda juu ya kuteswa na kuuawa kwa wananchi siku 4 tu baada ya operesheni tokomeza kuanza.
Mbona kamati haikusema haya?!!!
Nape anakiri kuwa yapo mambo mengi yamesemwa na wapinzani, serikali ikayachukua na ikaweza kufanya mambo yaende...
Hapa Nape kachemka anaposema makatibu wakuu wa wizara wanamamlaka makubwa kushinda mawaziri kwa sababu wao ni viongozi wa serikali,hii sio sawa inafahamika makatibu wakuu wote ni makada watiifu wa ccm na hata uteuzi wao unaotokana na Rais unalitambua hilo
Sijui anataka kutufanya sisi mburulas?