Mjadala Star TV: NCCR, CUF & CCM wakijadili 'Utenguzi wa Mawaziri tutegemee nini?'

Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
0
Ni katika kipindi cha tuongee asubuhi ukiwajumuisha Sungura (NCCR mageuzi), Nape (CCM), Mtatiro (CUF).
Wapo kujadili "utenguzi wa mawaziri".

Nape:
Viangaliwe mifumo, sheria na watu katika kusimamia. Adai tume huundwa na kutumiwa kama vichaka vile.

Mtatiro:
Yapo matatizo ya ombwe la kiuongozi katika nchi na uendeshwaji wake, hususan dola iliyopo madarakani.

Patrobas(Mwanza studios):
Kuendesha nchi kwa operesheni ni dalili za kushindwa uongozi.
Amuombea Nape ateuliwe ubunge na uwaziri ili naye apimwe kiutendaji.

--------------------------------------

Nape anasema haya matatizo kinana aliyaona kwenye ziara zake mikoani ndio akaitisha kamati kuu ya chama haraka na kuwaita mawaziri kuwahoji

Sungura: Yaliyotokea ni matokeo ya utekelezwaji wa sera za CCM iliyotolewa mwaka 2010. Yaliyotokea yalijulikana na balozi, kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, wizara.
Chama legelege huzaa serikali legelege.

Nape: Akanusha kilichoongelewa na Sungura juu ya "Utekelezwaji wa sera za CCM". Amekanusha.

Adai baada ya kubaini malalamiko katika operesheni, wakaamua isimamishwe haraka. Na sasa, wanawajibika waliopewa dhamana hiyo.

Kwa mara ya kwanza katika operesheni Tokomeza yaliibuliwa Meatu, tena wananchi kumlalamikia Kinana kwenye ziara ile, ambapo ndani ya kikao cha ndani cha CCM, rais alikiri kuwepo kwa malalamiko.

Kwa mujibu wa Mtatiro, CUF ilimwandikia waziri mkuu Pinda juu ya kuteswa na kuuawa kwa wananchi siku 4 tu baada ya operesheni tokomeza kuanza.
Mbona kamati haikusema haya?!!!

Nape anakiri kuwa yapo mambo mengi yamesemwa na wapinzani, serikali ikayachukua na ikaweza kufanya mambo yaende...

Hapa Nape kachemka anaposema makatibu wakuu wa wizara wanamamlaka makubwa kushinda mawaziri kwa sababu wao ni viongozi wa serikali,hii sio sawa inafahamika makatibu wakuu wote ni makada watiifu wa ccm na hata uteuzi wao unaotokana na Rais unalitambua hilo
Sijui anataka kutufanya sisi mburulas?
 
Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
0
Mtatiro: Kuna tatizo kubwa la uthabiti wa kiuongozi, tazama CDF, tazama PM, tatizo waliopewa dhamana.
 
Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
0
Sungura: Yaliyotokea ni matokeo ya utekelezwaji wa sera za CCM iliyotolewa mwaka 2010. Yaliyotokea yalijulikana na balozi, kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, wizara.
Chama legelege huzaa serikali legelege.
 
Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
0
Nape: Akanusha kilichoongelewa na Sungura juu ya "Utekelezwaji wa sera za CCM". Amekanusha.

Adai baada ya kubaini malalamiko katika operesheni, wakaamua isimamishwe haraka. Na sasa, wanawajibika waliopewa dhamana hiyo.

Kwa mara ya kwanza katika operesheni Tokomeza yaliibuliwa Meatu, tena wananchi kumlalamikia Kinana kwenye ziara ile, ambapo ndani ya kikao cha ndani cha CCM, rais alikiri kuwepo kwa malalamiko.
 
gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,000
Ni katika kipindi cha tuongee asubuhi ukiwajumuisha Subgura (NCCR mageuzi), Nape (CCM), Mtatiro (CUF).
Wapo kujafili "utenguzi wa mawaziri".

Nape: Viangaliwe mifumo, sheria na watu katika kusimamia. Adai tume huundwa na kutumiwa kama vichaka vile.

Mtatiro: Yapo matatizo ya ombwe la kiuongozi katika nchi na uendeshwaji wake, hususan dola iliyopo....
anachosema Nape sio kweli mbona wameelezwa matatizo ya mtwara hawajachukua hatua? kwa hiyo sio kweli wanachojali wao ni mpaka waone kunamadhara ya chama lakini kama wananchi wanateseka na kusiwepo madhara kwenye chama cha mapinduzi wanakuwa hawajali,huundio ukweli
 
Mwl. Sima

Senior Member
Dec 17, 2012
124
170
Kimsingi kila jambo linamapungufu yake na ni vema yanapogundulika hatua zichukuliwe. Kwahili naipongeza serikali,hata nchi zinazoendelea mwendo ni huu.
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Nape anasema haya matatizo kinana aliyaona kwenye ziara zake mikoani ndio akaitisha kamati kuu ya chama haraka na kuwaita mawaziri kuwahoji
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Mtatiro anasema kuna tatizo la kutowajibika na hili ni jukumu la kila mtu
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Mtatiro anasema ccmndio wana jukumu la kusimamia misingi ya uadilifu na uwajibikaji hapa nchini
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Wananchi watumie masanduku ya kura kubadilisha mfumo na kuweka viongozi waadilifu
 
mzee wa miba

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
760
0
Sungura: Yaliyotokea ni matokeo ya utekelezwaji wa sera za CCM iliyotolewa mwaka 2010. Yaliyotokea na balozi, kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, wizara.
Chama legelege huzaa serikali legelege.

Nape amebanwa mbele na nyuma hapumui..Mtatiro na Faustine Sungura wamemkalia koooni Nape nii Mweupe ...nzigo kwelikweli. kudumu chama. cha. mizigo.....
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Ni katika kipindi cha tuongee asubuhi ukiwajumuisha Subgura (NCCR mageuzi), Nape (CCM), Mtatiro (CUF).
Wapo kujafili "utenguzi wa mawaziri".

Nape: Viangaliwe mifumo, sheria na watu katika kusimamia. Adai tume huundwa na kutumiwa kama vichaka vile.

Mtatiro: Yapo matatizo ya ombwe la kiuongozi katika nchi na uendeshwaji wake, hususan dola iliyopo....
Kama mleta mada ulipaswa uandike heading ya mada inayoeleza kinachoendelea kwamba utenguzi wa mawaziri, tutegemee nini. Waombe mods waboreshe hilo.
cc.
rock city
 
2hery

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,700
2,000
mtatiro anasema wapinzani wakisema serikali inadharau
.Nape anacheka
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
2,000
Faustine sungura anasema serikali siku zote inatakiwa iwe macho,isiendeshe nchi kwa matukio
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom