Mjadala Star TV: NCCR, CUF & CCM wakijadili 'Utenguzi wa Mawaziri tutegemee nini?'

Nape anasema viongozi wa vyama vya upinzani wajifunze kuwajibika pindi yanapotokea matatizo kwenye vyama vyao. Ametolea mfano ya operation ya movement for change ya chadema kuwa kuna raia walikufa hivyo katibu mkuu wa chama anapaswa kujiuzulu.
 
Mtatiro: sera za cuf ni haki sawa fursa sawa na maslahi sawa kwa watu wote.
 
Mtatiro. Dola haina projection ya nini kitatokea mbele, soln ni wananchi kufanya maamuzi kupitia madanduku ya kura
 
Nape amebanwa mbele na nyuma hapumui..Mtatiro na Faustine Sungura wamemkalia koooni Nape nii Mweupe ...nzigo kwelikweli. kudumu chama. cha. mizigo.....

Ungekuwa unaangalia mjadala na kuelewa usingeongea hvyo,ni vema kuweka ushabiki mbali kwny maslahi ya taifa. Namsifu sn Nape amekuwa mkwl kutambua tatizo na njia ya kutatua,wkt wakulalamika umekwisha na ni kz ya wapinzani.
 
Kwa walio angalia kipindi watakubaliana nami kuwa hakika NAPE ni mtu makini asietanguliza siasa za vyama mbele ktk maslahi ya nchi
Amesema ya msingi kutokana na mawazir kuwajibika

1.tumegundua kuna maeneo yanashida ya mfumo

2.kunashida ya watendaji baadhi kutotimiza majukum yao.


CCM TUMESIKIA TUNACHUKUA HATUA NA TUNATEKELEZA

KIDUM CHAMA CHA SIASA
 
Mabomu ya Arusha kumbe nayo ilikuwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM! kwamba wananchi wa ARS walitakiwa wajute kuikataa CCM?...kwa hili mahakama ya ICC itawahusu soon! Pemba nayo mlifanya hivyo hivyo pale wapemba walipoikataa CCM... No wonder Mnamkumbatia Nchemba...
 
Kwa walio angalia kipindi watakubaliana nami kuwa hakika NAPE ni mtu makini asietanguliza siasa za vyama mbele ktk maslahi ya nchi
Amesema ya msingi kutokana na mawazir kuwajibika

1.tumegundua kuna maeneo yanashida ya mfumo

2.kunashida ya watendaji baadhi kutotimiza majukum yao.


CCM TUMESIKIA TUNACHUKUA HATUA NA TUNATEKELEZA

KIDUM CHAMA CHA SIASA


Wendawazimu mtupu!

(i) Tumegundua kuna maeneo yana shida ya mfumo: akina nani wamegundua? wamegundua lini? naeneo yapi? shida ilianza tangu lini? mfumo upi? kwanini shida imekuwepo? shida ilisababishwa na nani/nini? wamechukua hatua gani? za muda au endelevu?

(ii) Kuna shida ya watendaji baadhi kutotimiza majukumu yao: waliaza lini kutotimiza majukumu? kwanini hawatimizi majukumu yao? wenye mamlaka wanachukua hatua gani? sheria zinasemaje? nani anapaswa ku-enforce hizo sheria (kama zipo)? anayepaswa ku-enforce katimiza wajibu wake? kama sivyo, hatua gani zimechukuliwa? kama ndivyo kwanini hali imeendelea kuwa hivyo? nini kifanyika ili kumaliza hii hali forever?

(iii) CCM tumesikia tunachukua hatua na tunatekeleza: CCM ni chombo cha serikali au taasisi ya kisiasa? watndaji kutotimiza majukumu yao ni suala la kisiasa au kisheria? anayepaswa kuchukua hatua ni CCM au chombo kingine? CCM wameanza kusikia lini habari hizo? wameanza "kuchukua hatua" tangu lini?

Hebu acheni ulaghai, acheni kutoa majibu mepesi kwa masuala mazito. Wananchi wameuwawa, wamebakwa, wamedhalilishwa, wameporwa mali zao halafu manaleta siasa!
 
Nape ni mkweli. Ni lazima ccm iwe makini na watu inaowateua kuongoza serikali. Huu mtindo wa kila professa kila dr kupewa cheo bila kutazama undani wao ni hatari sana kwa mustakabali wa chama

Huyo Nepi akili zake zina ganzi na ukungu,atasemaje Serikali iwe makini katika kteua watendaje wake,Mawaziri,wakati CCM yenye kuunda hiyo Serikali haipo makini katika kuteua watendaji wake,yeye mwenyewe Nape na Mwigulu CCM ilitumia umakini gani kuwateua kuwa watendaji wa Chama?. Chama legelege huzaa Serikali legelege. Shame on you Nepi and your CCM.
 
Back
Top Bottom