Mjadala Star TV: NCCR, CUF & CCM wakijadili 'Utenguzi wa Mawaziri tutegemee nini?'

Hapa Nape kachemka anaposema makatibu wakuu wa wizara wanamamlaka makubwa kushinda mawaziri kwa sababu wao ni viongozi wa serikali,hii sio sawa inafahamika makatibu wakuu wote ni makada watiifu wa ccm na hata uteuzi wao unaotokana na Rais unalitambua hilo
Sijui anataka kutufanya sisi mburulas?
 
Nape atasemaje mawaziri ni mizigo wakati anajua sheria haiwa fevi sana kuliko makatibu wakuu?basi wizara zote zisafishwe hadi makatibu wakuu ni wabovu
 
Kuna jamaa anamwaga nondo hapo mwanza.
ameseme pinda awajibike kwa kuachia ngazi
 
Nini kinafuata?
Nape anajibu: wanasiasa waliohusika kwenye oparesheni mbalimbali na yakatokea mauwaji mf. M4c wawajibike
 
Bunge limeunda tume ya kimahakama wenda kutafuta ushahidi/ ku verify yalyoelezwa bungeni ili hatua za kisheria zichukuliwe
 
Back
Top Bottom