Mjadala: Pesa inaongeza nguvu za kiume

Mjadala: Pesa inaongeza nguvu za kiume

Kuna ukweli mkubwa sana kwenye hilo. Ukiwa nazo mfukoni ukumbuke kuwa mfuko wa suruali na dudu ni mtu na jirani yake, kwa hiyo dudu ananusa harufu ya noti na anaanza kusimama simama kama mtu anayetaka kujibu swali mkutanoni
Ahahahaa kwa comments hizi napata jibu pesa inaongeza idadi ya wanawake tu
Kwa asilmia kubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume huletwa na stress, kama huna pesa ni rahis sana kuwa na stress. Hivyo vitu hivi wiwili huingiliana kwa asilimia fulani. Kuna wanaume wengine (nikiwemo mimi) wakisha pesa nia na hamasa ya kutafuta wanawake huongezeka maradufu.
 
Pesa ni kilakitu hata kitabu kiliruhusu mumemmoja aoe wake wanne ila na uwezo wa fedha.
Sio dhambi kushindwa kugegeda kama huna fedha. Fedha na ngono ni marafiki wakubwa sana
 
Pesa ni kilakitu hata kitabu kiliruhusu mumemmoja aoe wake wanne ila na uwezo wa fedha.
Sio dhambi kushindwa kugegeda kama huna fedha. Fedha na ngono ni marafiki wakubwa sana
Pesa makaratasi kuna wakati bora kufuata nafsi.
 
Pesa inaleta confidence wakati confidence inashusha hofu na hofu ikiwa chini basi libido inapanda juu
 
Back
Top Bottom