Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi Kwa kuwa hazina Nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania, wewe unayeshawishi watu wasioE umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Kataa Ndoa
Ndoa ni Utumwa
Ndoa ni Utapeli
Kataa Ndoa
Kataa Ndoa
Ndoa ni Utumwa
Ndoa ni Utapeli
Kataa Ndoa.
Nitafute Mali zangu mwenyewe kwa jasho, Biashara,Nyumba, gari halafu nioe tukiachana eti tugawane mali aise" Kataa Ndoa.
Ndoa ni Utapeli
 
Mkuu, mwanzo dada yangu alihisi namsingizia

Ila kuna siku alinijibu mbovu mbele yake ndo akaamini

Nilishafanya vikao sana ikafikia hatua mwisho wa siku Dada yangu akaniambia,

"Bwana we mi nimeshasema weeeee nimechoka, kilichobaki pambania mwenyewe ndoa yako"

Hapo nimeshaitisha vikao vya kifamilia sana wajomba zake wameshakuja kusuruhisha anakaa anatulia wiki tatu wiki ya nne anarudia, yaani alikuwa anatulia ndani ya wiki tatu tu ya nne analianzisha tena

Akawa anawapigia simu wajomba zake anawajaza maneno weeee mwisho wa siku mimi ndo nikawa naonekana mbaya

Siku nikawa nikitaka kuonana na mjomba wake akawa ananikwepa

Nikaona mambo yasiwe mengi ikabidi niachane nae

Maana wajomba zake baada ya kusuruhisha mara mbili zote mwisho wa siku anakuja kurudia tabia zake zile zile kisha anawapigia simu na kuanza kunipaka ili mimi nionekane mbaya

Na ndugu zangu walishachoshwa na sisi

Ikabidi niachane nae tu japo tulikuwa na watoto wadogo mmoja alikuwa ndo kwanza ana miezi minne(hii mpaka leo nikifikiria inaniumiza)
Ila hakuna namna

Pole sana jmn watu wa hivi hufanya makusudi ikiwa wanajua wanapendwa.Ataenda ila kuna siku atarudi,kuna wanawake wengine hutumia upendo wa mtu vibaya akijua anapendwa ataanza kukudharau,kukufanyia mabaya kwa kuwa anajua huwezi kumuacha.Ila ipo siku atarudi dunia ya leo kupata wa kuoa ni ngumu sana.Kwa kuwa dini yako inaruhusu tafuta mwingine mwenye vigezo vya kukufaa mtu mmoja asikusababishe uione dunia mbaya.Wanawake wema bado wapo duniani
 
Wasalaam.

Hivi karibuni, humu jukwaani kumezuka na idadi kubwa ya vijana na sera yao ya kukataa ndoa.

Nimekuwa nikizisoma nyuzi zao na kutafakari nini haswa kilicho nyuma ya kampeni zao? Ukweli ni kuwa, hiyo ni njia ya kueneza ushoga kwa namna ya tofauti. Ni vijana waliokosa dira na wenye mshawasha wa kubinuliwa na wanaume wenzao.

Wanawashawishi wengine wakatae ndoa ili wafanane nao. Kwamba wao hawajaoa kwa sababu wanatinduliwa kwenye mitaro basi na jamii iwachukulie kawaida na wale ambao hawajaoa.

Lengo la ushoga duniani ni kupunguza idadi ya watu na kumuudhi Mwenyenzi Mungu. Na msingi wowote wa familia ni ndoa. Kuikataa ndoa ni kukataa kuwa na familia. Tunajenga jamii ya watu wa hovyo mno. Tukatae kampeni hizo zenye nia ovu.

Ukiwasoma, wanakimbia changamoto za kawaida za kifamilia. Na mwanaume tumeumbwa ili kupambana na changamoto zozote za kidunia. Kuziepuka changamoto hizo ni kuukana uanaume wako. Kuukana uanaume ni kuukaribisha ukike ndani ya uanaume ambao ndiyo Ushoga wenyewe.

Jamii iwe macho na tukemee kampeni za aina hiyo zenye lengo la kuleta mtafaruku ndani ya taifa letu.
 
Pole sana jmn watu wa hivi hufanya makusudi ikiwa wanajua wanapendwa.Ataenda ila kuna siku atarudi,kuna wanawake wengine hutumia upendo wa mtu vibaya akijua anapendwa ataanza kukudharau,kukufanyia mabaya kwa kuwa anajua huwezi kumuacha.Ila ipo siku atarudi dunia ya leo kupata wa kuoa ni ngumu sana.Kwa kuwa dini yako inaruhusu tafuta mwingine mwenye vigezo vya kukufaa mtu mmoja asikusababishe uione dunia mbaya.Wanawake wema bado wapo duniani
Aliniambia huyo mwanamke asharudi anataka warudiane, jamaa ana mtu mwingine kwa Sasa

Nikamwambia USIRUDIE MATAPISHI.

Over.
 
They want everything.

They offer NOTHING.

Madogo kuishi na mwanamke ni muhimu ila ishi nae kinyumba tu bila ndoa utakuja kubariki Ndoa ukifika miaka 55 huko...

Wengi wao hawana Cha kutoa..

Oya kaka zenu tumeoa tunawaambia uhalisia hawana Cha kutoa..

Kamata mtoto wa mtu piga mimba ishu nae kinyumba hayo maigizo anayowekea kabla ya kusign makaratasi yataisha tu...

THEY HAVE NOTHING TO OFFER,NOTHING

Ni Stress tu na usipokuwa makini utajifunza umalaya,ukatili au ulevi.Hiyo tabia Yako ya upole unaweza jikuta umeenda kuwa Katili kwenye Ndoa na huyo ucheshi wako,uchangamfu unaweza jikuta umeenda kuwa mkimyaaaa..

Ndoa itakupoteza Asili yako usipokuwa makini..

Mimi sikuwahi kuwa mtu wa kukunja sura mda wote sio Asili yangu kabisa ila nimejikuta nimekuwa mtu serious kweli kweli hasa nikiingia ndani ya nyumba.

Unapogusa mlango wa nyumbani kwako ndo Stress,Hasira,chuki, Majuto nayo yanakuwa karibu na Ukiingia tu Makwazo yanaanza mi defense yangu ni kuwa serious tu au naenda chumba cha wageni najifanya kuna kazi nafanya huko kumbe nipo busy kufurahi na comedy contents imagine mimi na utu uzima wangu nimetoka 850k nimenunua PS4 ili tu nisiwaze ujinga wa nyumbani...

Madogo jipange kabla ya kuoa mtakuja kuwa watu wa Ajabu sana msipoangalia...

Watasema umekosea kuchagua No no no no,kama kuna watu walijipanga kuchagua basi mimi ILa bado nakwambia they have nothing to offer.Hawa watu ni fake sana..

Mi mke wangu akitokea leo hii mbele ya mwanaume yeyote yule 85% watasema mke ndo huyu ila niishie hapo tu...

Shauri yenu...
Kwani ww ulitarajia nini kwa mkeo akupe mpaka ukamuoa ?

NB: Kuishi pamoja na mwanamke kinyumba kwa miezi sita tu hapo itahesabiwa mmeoana Tyr kisheria na ana haki zote za mke. Otherwise aishi kwao .

Pia ukimzalisha Binti wa MTU Tyr ni mzazi mwenzio na utamtunza mtoto wako hata kama Baba wengine wanamla mama wa mtoto wako. (Sad to your Children)
 
Wazee wazamani wa wapi ? waliwakeketa kina nani waliotulia ? Nipe mifano dhahiri kwenye familia yenu. Huenda sisi kwetu hawajakeketwa ndo maana. Bibi, Shangazi , Dada na mama ako wapo upande upi ? Ndoa sio ngono ya masaa kadhaa pekee.
 
Kizuri cha jiuza kibaya chajitembeza kama ndoa ni tamu hiv mbona mnawashawishi wengne waingie ,mbona kwenye machimbo ya fursa za kiuchumi hamshawishi mtu aingie.
 
Kizuri cha jiuza kibaya chajitembeza kama ndoa ni tamu hiv mbona mnawashawishi wengne waingie ,mbona kwenye machimbo ya fursa za kiuchumi hamshawishi mtu aingie.
Badili cycle Yako mkuu.. watu wanapeana michongo Daily.

Hakuna anaemshawishi mtu kuoa. Ila tunapinga kushawishiwa kukataa ndoa pasina hoja.
 
Tatizo kunawanaotaka ndoa bila sababu na kuna wale wanaokataa bila sababu. Je, wewe sababu yako ya msingi ni ipi?
Ndoa ni mtego mbaya kwa mwanaume hazina faida , faida labda kama ww ni mfanya biashara uoe mfanyakazi serikalini upate bima ya afya tu
 
Kuna watu wametoka kufunga ndoa hata miezi 4 hawajafika,timbwili tayari

Ova
Kuna mshkaji kabla ya kufunga ndoa yeye na mkewe walikua na aman mno walivyofunga tu mshkaji kageuka Cha pombe ,ukimuuliza nini shida anasema Acha tu.
 
Nikasome story zao kwenye comment ama ? Usinitag ww niambie ni madhara yapi nitayapata nikioa ? Mfano labda 1. Nikioa nitakufa mapema 2. Nikioa nitafilisika 3. Nikioa Demu wangu watamgonga n.k....... hata huko kwenye huo Uzi pitia alafu rejesha madini ya huko kwa ufupi hapa .
Kukataa ndoa sio kukataa kuoa haujibiwi kiusahihi kwa sababu umekaza fuvu.
 
Hii sheria ya 50/50 na mambo ya feminism ndo yamekuja kuwakandamiza wanaume sasa waonekane kama watumwa kwenye kifungo kinachoitwa ndoa........mamlaka ya mwanaume yamedumazwa kiasi kwamba mwanaume anaweza kunyanyaswa, kupelekeshwa na kufanyiwa kila vitimbi na mwanamke kwa kisingizio cha sheria ya ndoa, sheria na haki za wanawake, na sheria na haki za watoto, hizi zote zikiwa kinyume na mamlaka na uhuru wa mwanaume kuamua mambo ndani ya familia yake.​
 
Back
Top Bottom