Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mie naomba nichukue hiyo ya "YANGA BINGWA" basi.
 
Ukichunguza sana wanaohamasisha watu wasioane basi huwa ni mashoga wanaona wivu wanawake wakiolewa wanataka waolewe wao mwamba mleta mada nina mashaka naye
Duh!Umefika mbali sana mkuu.Hao wanawatisha wenzao wasioe wanatafuta uhalali wa kuishi kihuni na tunajua siyo watawa.Na ni uchoyo uliombatana na uoga wa kuishi na wenza.Wanamshauri mtu asioe wakati wao kila kukicha wanatafuta wa kupeana rejareja.Ni wenye ubavu,uvumilivu,mbinu,waliokomaa akili na wanaoiona kesho ndiyo huwa na uthubutu wa kuiishi ndoa.Hao wengine ni wahuni tu.
 
I'm not yet convinced by your 2 examplary scenarios, hiyo mifano yako Bado haitoshi kunifanya niikinai ndoa.
Hakuna Cha ajabu hapo.

Kwenye Uzi wako umesema tutafute pesa ili tuepukane na matukio Kama hayo ila Bado kwenye huu Uzi wako Kuna mahali unasema miamba wenye pesa wanagongewa wake zao na makapuku wa mtaani, kwa hiyo Ina maana pesa haina uhusiano wowote na kudumu ama kuvunjika kwa ndoa.
 
Kila mara aandikapo uzi wa kupinga kuoa au kuolewa anakuja na mambo yenye utata tu.Hajui na hawezi kutetea ila kukomaa tu.
 
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 

Hii ni sample ya mifano ukitaka large sample size zama kitaa nikusanyie.

Nimekwambia "Tafuta pesa uishi maisha yako" na sio ""Tafuta pesa ili uoe""

Kwenda Qatar kuangalia world cup (na mifano mengine yotee) havina uhusiano na kuoa.

Tafuta pesa ili uishi.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…