Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,864
- 18,422
- Thread starter
-
- #21
Now days...Sasa kama hao wameoa Malaya wasiojua kujistiri nyuchi zao ndo ugeneralize wanaume wote wasioe?
Kuna wanawake watulivu na wapo wengi tu
Halafu ukiongelea ndoa unabase zaidi upande wa wanawake kama bidhaa vile,hao pia walifanya maamuzi waolewe ama wasiolewe,hawakubebwa tu kama magunia na kuwekwa ndani.so ukute hata huo upande mwingine wanaume nao wanafanya yao wanasaliti ndoa mbona huwaongelei?
Mi nkianza hapa jamani msiolewe nkaanza kutolea mifano ya wanaume wanavosaliti patatosha?
Ukute hao wanaokula wake za watu hapo nao pia wameoa wameacha wake huko nyumbani,na wake huko nao wanakiendeleza..huu mzunguko utaumaliza?
Tafakari yako ya wengineo hutayamaliza
Ni nyakati za uovu,mabaya yametawala lakini mema pia yapo.
UKIOA ndio utajua kuwa kumbe ulikua humjui huyo mchumba...!!!mpaka leo naulizwa kwa nini ujaoa !
ufuska niliopitia ndio unachungulia niliyopitia.
Ndoa ni ngumu.Hizi habari kama hujazitoa kwenye kampuni ya simu ni bahati huko kusini
Ikiwa "HAO WAKE " uliowataja "wanatumia lady pepeta" hakuna shida!Wajumbeeee salama?
Ni yuleyule Mfichua maovu ili awanusuru vijana na hili JANGA la Ndoa..!!!
Si mlishaambiwa ndoa NDOANO na MSIOE? Ila mmekuwa WABISHI..
Kwa ukweli halisi bila kuongeza Wala Kupunguza naomba kuongea na wewe ambaye .................
1. Mkeo ni askari magereza anasoma chuo Iringa na wewe ni mwalimu Songea.
Mkeo umempa ruhusa ya kusoma, akaishi off campus.
Sasa huko ghetoni kwake kuna baharia anajilalia kama yeye ndio katoa mahari.
2. Mkeo ni mwalimu ndani ya moja ya wilaya mkoa wa Songwe, mkeo ni mweupe na anashape fulani amaizing.
Basi Kuna kijana ni mtendaji wa kijiji kimoja yupo ndani ya kata hiyo hiyo anayofundisha mkeo.
Baharia anasugua mbususu ya mkeo kama kaoa yeye.
3. Mkeo anafanyia kazi moja ya chuo Iringa, na wewe upo kazini Sumbawanga.
Basi huko Iringa huko raia wanampindukia balaa na mkeo.
4. Mkeo ni askari magereza (rafiki wa 01) ambae anasoma chuo kimoja na 01.
Na wewe mwanaume ni mwanajeshi JWTZ huko Morogoro.
Yaaani baharia pamoja na kuwa una vaa magwanda yanayo ogopesha ila raia wanachomfanya mkeo huko Iringa, Dah ni machungu sanaa.
5. Mkeo anafanya Kazi private company ya kilimo huko Mngeta (Morogoro >> Ifakara ndani ndani hukoo) na wewe unaishi Morogoro mjini.
Basi bana Kuna mabosi wa kampuni wanajilia kama wao ndio wamemuoa.
6. Mkeo ni mwalimu huko Iringa, Kilolo ndani ndani huko na wewe upo sijui wapi.
Aisee mabaharia wanaruka nae hasaa.
Na mkeo ana bahasha wake mtu mzima hasa.
Mkeo anasemaga "Yule Mzee nimpeleke wapi mi nataka pesa zake tu".
Basi bana mkeo hua anasafiri kutoka Iringa mpaka Dodoma ili akakutane na huyo babu.
Mkeo anatoa utamu, babu anatoa pesa.
7. Mkeo ni Nesi ndani ya Songwe na wewe ni mwalimu Tabora.
Bana eeh Nesi bana anatibu mpaka visivyotibika huko.
7. Mkeo ni mwalimu ajira mpya za juzi ndani mkoa uliokaribu na mkoa wa Mbeya.
Sasa bana mkeo kaolewa huko, Kuna baharia alimpokea na kamfanya mkewe.
8. Mkeo ni HR, mweusi na ana chura fulani hivi amaizing.
Wewe ni muuza magodoro huko mjini ya wilaya aliyopo mkeo kama HR wa halmashauri.
Bana eeh huko kazini mabaharia nao Wana mHR chumbani..!!
9. Mkeo ni mfanyakazi bandarini Tanga na wewe upo Dar.
Aisee wasambaa wanaenda nae sawaa hasaaa.
10. Mkeo ana duka kubwaa Iringa mjini na wewe unaishi mafinga unafanya Kazi kampuni ya simu.
Bana bana mabaharia huwa wanachangia sanaa mtaji pale.
11. Mkeo ni mama mchungaji. Ni mweupe na mzuri hasaa.
Anasoma uchungaji moja ya chuo hapa nchini.
Aisee Kuna raia ni mwanafunzi mmoja wapo hapo Chuoni huwa wanakemea sanaa nae mapepo chumbani.
12. Mkeo ni engineer na kapata ajira juzi tu.
Aisee mkuu wa Idara ya ujenzi (Engineer mwenzake) kamuoa kabisaaa.
13. Mmmmh ni wengine aiseee ni wengi sanaaaa.
Nimetembea sanaa na nimejionea mengii wafanyayo wake zenu walio mbali na upeo wa macho yenu.
Hawa ndio niliokutana nao kwenye kuzurula kwangu na wengine nimewasahau.
Nachotaka kusema ni kwamba ""Wewe unayeishi mbali na mkeo, aiseee mabaharia A.K.A wakurungwa wanaruka nae hasaa""
Mabaharia hawana hurumaa kabisa na zile laki kadhaa wengine mpaka milioni huko mlizotoa za mahari.
Wao wanaruka nae bureee.
Note:-
1. Ukiamua kuoa hebu kaa na mkeo ndani ya paa moja.
2. Kama wote ni wafanyakazi basi lazima mmoja akubali kuacha Kazi ili kulea hiyo ndoa.
Vinginevyo mwanaume mwenzangu utasaidiwa sanaaa.
Na ushauri uliomkuu ni kwamba...
ACHA KUOA KABISA, MTAKUFA KWA MAWAZO NA MATESO YA NAFSI.
Nikutonye kitu;
Nimekua na safiri sanaa kununua mpunga mikoa ya Moro, Mbeya na Songwe.
Sasa ipo siku nitawaletea NYUZI ya wake zenu wanayoyafanya tunapokua nao tukinunua mpunga.
Aisee wanachofanya na huku mmewaoa tena kwa ndoa halali dah sina la kusema zaidi ya ""Mungu saidia ndoa za hawa mabaharia wenzangu""
Halafu msisahau kutafuta hela;
Yes money can't buy everything, ila HAKIKISHA una pesa nyingi kabla hujaropoka huu ujinga..!!!!
#YNWA
Buda unasonona wewe nenda katibiwe..Wajumbeeee salama?

Tuanzie kwanza kwako mkuu, wewe ushaoa, maana ulokole wa namna hii nshaona ukiua, jamaa aliamini mia mia, mke wake hawezi kuguswa na mtu yeyote alovyomdhania kwa msimamo alokuwa nao mkewe. Hatima yake siku anashuhudia mubashara, kunako kitanda chake ndiyo siku aliamini bora angemsikiliza nyoka kuliko mwanamke alokuwa naye. Alimnyonga mke hadi kifo, kisha yeye kujidunga visu.Naona upo kwenye kampeni yako kuzuia watu wasioe
Kama wewe ulikutana na Malaya ukaoa akakunyoosha vzr kwa kutombwa na wahuni wenzake kwenye kitanda chako
Pambana na hali yako
Wapo wanawake wema kabsaa
Yupo mwanamke ameumbwa kwa ajili yako huyo hawez kukufanyia umalaya kamwe!!!
Tatizo mnaoa wake za wenzenu lazima aende kwa mtu wake aliyepangiwa na Mungu
Endeleni kuoa wake wa wenzenu bila kumshirikisha Mungu akupe wako
Lazima utombewe maana sio mke wako
Na mimi nasema mtombewe tuu tena Sana maana mmemuacha Mungu
Mmeamua kuchagua wenyewe kwa kuangalia matako,shape,rangi,macho,mdomo,matiti
Mpaka mnyooke pumbavu zenu
Wala hakuna uhatari wowote ule , ukishajua nini cha kufanya hatari inakuwa kawaida tu, kwasababu ni kitu ambacho kwa sasa kukizuia ni asilimia ndogo sana, kuwa mke/mme asichepuke!!Duh kwahiyo mnaoana ili Mkachepuke kwenye ndoa?!!!
Yaani unajua kabisa hili ni hatari na mnatenda.
#YNWA
Buda nipo kamili kwenye viunga vya kutafutia pesa nikiwa timamu.Buda unasonona wewe nenda katibiwe..
Kuna utofauti Kati ya uchungu apatao mwanaume na mwanamke wakigawa nje.Hao wanaume huko mbali hawali k???
Wote ni wale wale tu!!tena kwa upande wetu wanaume ndio tumezidi kabisaaaHao wanaume huko mbali hawali k???
Braza speaking from experience HAO WANAWAKE MNAONA WA MUNGU ni nomaaaa.Naona upo kwenye kampeni yako kuzuia watu wasioe
Kama wewe ulikutana na Malaya ukaoa akakunyoosha vzr kwa kutombwa na wahuni wenzake kwenye kitanda chako
Pambana na hali yako
Wapo wanawake wema kabsaa
Yupo mwanamke ameumbwa kwa ajili yako huyo hawez kukufanyia umalaya kamwe!!!
Tatizo mnaoa wake za wenzenu lazima aende kwa mtu wake aliyepangiwa na Mungu
Endeleni kuoa wake wa wenzenu bila kumshirikisha Mungu akupe wako
Lazima utombewe maana sio mke wako
Na mimi nasema mtombewe tuu tena Sana maana mmemuacha Mungu
Mmeamua kuchagua wenyewe kwa kuangalia matako,shape,rangi,macho,mdomo,matiti
Mpaka mnyooke pumbavu zenu
Mwamba nadhani hunijui..!!Umemruhusu mkeo aje asimamie mashamba yako ya Mpunga huku ifakara.?
Basi ngoja nikusanue, kuna baharia fulani anajilia vyake na magunia ya Mpunga anaachiwa na mkeo
Pole kwa Majanga.Acha umbea
Asante kama akishindwa kujilinda mwenyewe kumchunga ni kazi bure hata huku najiliaPole kwa Majanga.
Ndio ndoa hizo.
Si mliambiwa mvumilie.
Ila angalia usije kufa kwa uvumilivu.
#YNWA