Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.

Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.

Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.

Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA

2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA

3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA

4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?

Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMANI, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.

Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Pole sana Kaka.

Zingatia: Sio kweli Mwanamke ana offer K tu, bali ana offer amani ya moyo na utulivu wa akili. (Hakikisha unampata na kummiliki mwanamke umpendae kwa gharama zozote zile).

Survival of the fittest hio ndio formula.
 
Duuuh!...Hizi akili zinafikirisha sana....yaani ukae kwenye ndoa na kuvumilia upumbavu kwasababu ukiumwa tu, mwenza wako ndie pekee atakae kusitiri...
Sawa mzee mwenye akiri. Bila shaka hata ndoa yenyewe hujawahi kumiliki. Na pia hatuwezi kutaja sababu zote hapa.
Lkn pia ishi unavyo weza dunia ni uwanja wa fujo mzee
 
Nyie wazee wa kataa ndoa changamoto yenu kubwa mmekumbana na watu wasio sahihi na nikutokana na style ya maisha ya watu ya sasa kuishi.
Mfano vijana wengi wakiume kutaka mwanamke kisu yaani mzuri kiasi kwamba hata wanaume wengine watamtamani wakimuona. Hii dhana ina wapoza wengi sana. Mwanamke wa namna hii ni wakutumiwa tu huko kwenye mabar na wahuni.
Pia wanawake nao kutaka wanaume handsome na wenye vifua ndio hupelekea kuingia kwenye mahusiano ya siyo sahihi.
Vijana mtambue kuwa kwenye ndoa kuna zaidi ya tendo la ndoa.
NB: Shida hii imeletwa na ukosefu wa maadili kwenye jamii zetu.
 
Kwani afya inayumbaga Kwa mwanaume Tu??
Ni kwa wote lkn kuna utofauti mkubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke.
Hujiulizi kwann wanafanya biashara ndogo ndogo ni akina mama?
 
Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.

Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.

Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.

Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA

2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA

3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA

4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?

Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMANI, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.

Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Sawa lakini wee jamaa kilichokufanya ukarudi kwa Recho kumuona mama mkwe wa zamani nini? Huku ukijua kuwa ameshakusaliti ?Au ulienda kumtambia kuwa umepata kazi nzuri?
 
Ni kwa wote lkn kuna utofauti mkubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke.
Hujiulizi kwann wanafanya biashara ndogo ndogo ni akina mama?
Huo utofauti ndio maana halisi sasa ya maisha,,usijipe ukamilifu kwa kujiona Una mawazo,,Maono,, fikra na mitazamo sahihi ukadharau ya wengine!!
 
Nyie wazee wa kataa ndoa changamoto yenu kubwa mmekumbana na watu wasio sahihi na nikutokana na style ya maisha ya watu ya sasa kuishi.
Mfano vijana wengi wakiume kutaka mwanamke kisu yaani mzuri kiasi kwamba hata wanaume wengine watamtamani wakimuona. Hii dhana ina wapoza wengi sana. Mwanamke wa namna hii ni wakutumiwa tu huko kwenye mabar na wahuni.
Pia wanawake nao kutaka wanaume handsome na wenye vifua ndio hupelekea kuingia kwenye mahusiano ya siyo sahihi.
Vijana mtambue kuwa kwenye ndoa kuna zaidi ya tendo la ndoa.
NB: Shida hii imeletwa na ukosefu wa maadili kwenye jamii zetu.
Yap hayo zaidi ya tendo la ndoa
 
Back
Top Bottom