Habari ya usiku wana jukwaa, mie nimekuwa mmoja wa members wanaochukizwa kama si kukereka mno na ile kampeni inayoendelea hapa jukwaani ya kijana kataa ndoa.

Nimekuwa nikiona kama imekaa kishetani tu na kibinafsi sana kwa vijana wenzangu.

Wapo wanasema ndoa ni utapeli na mzigo kwa vijana hasa wakiume.

Naona somo taratibu limeanza kuniingia, yani nawaza nakuwazua mpaka napatwa presha kwa umri wangu huu wa mika 31 kisa mke? Hapana, napaswa kujiuliza mara mbilimbili.
Kuoa ni usenge mi natamani kutoka ila nikicheki machalii natulia mwanamke hata kama anafanya kazi Hela yake huioni

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 

Nimecheka Hali!!
Kumbe sie hatoelewi sababu ya wauza vyakula?
Na wengine wanaolewa kwajili ya kuwa wapishi tu,sio upendo?

Haya vipi madobi na dada poa?
 
waoaji tupo , sema ndio hivyo hatuna hela na hamtutaki
Kama mimi napenda nikiwa naoa niwe fully organised nyumba,gari n.k.

Kama yupo anayesema tutavipata tukiwa wote karibu tuanze kuijenga family. Kikubwa nitamheshimu na kumpenda.
 
Back
Top Bottom