Mjadala: KUNA MADHARA KUPIGA PUCHU

Mjadala: KUNA MADHARA KUPIGA PUCHU

Abbyarico

Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
50
Reaction score
43
Je wanandugu i hope ni wazima wa afya.
Je kuna madhala yeyote kwa mwanaume kupiga punyeto mala nne kwa mwezi i mean kila jumapili akawa anapiga bao moja je kuna madhala yeyote hapo??
 
Watu wa design yenu ndiyo mnafanya sisi tuwe tuna comment kila jukwaa. Sasa angalia mimi nilikuwa sio mtu wa kutoa ushauri kwenye mambo ya afya

Nilisikia sehemu kuwa hiyo ni hatari kwa afya japo mimi sio mtu wa afya
 
Ngoja uanzs mbona inasimama legelege mara mbona ivi
 
Back
Top Bottom