Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Umetafuta bila mafanikio nini?habari wadau humu ndani,kama kinavyojieleza kichwa cha habari hapo juu nlikuwa naomba kujuzwa sku za hatari kwa mwanamke kupata mimba ni zipi asante
Umetafuta bila mafanikio nini?habari wadau humu ndani,kama kinavyojieleza kichwa cha habari hapo juu nlikuwa naomba kujuzwa sku za hatari kwa mwanamke kupata mimba ni zipi asante
Inaelekea anakwepaUmetafuta bila mafanikio nini?
Kama ni mwanafunzi achana nae mkuu..habari wadau humu ndani,kama kinavyojieleza kichwa cha habari hapo juu nlikuwa naomba kujuzwa sku za hatari kwa mwanamke kupata mimba ni zipi asante
That is for an ideal woman.... Not to allSiku kumi kuanzia siku ya hezi, hazina shida, siku za hatari ni kuanzia 11 hadi 17 na 18-19 kulingana uzito wa mapokeo ya uzazi wa kila mwanamke.
aseeh hatariKama ni mwanafunzi achana nae mkuu..
Mdau sperm za binadamu kuishi up to 168 hours ndan ya uzaz wa mwanamke sijawah kusikia nafikir hata science haisem hivyo,ni 72 hoursVery theoretical..kusema siku ya 14 +/-3 ni biology ya form three! Human is not a book guys! Hizo ni hesabu kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 28 tu!
Kumbuka kuna wadada/wamama wenye cycle kuanzia siku 21 - 35, so kwa vyovyote vile hiyo hisabati ya hapo juu hai-apply kwa wanawake wote..lakini pia hata the same woman, cycle yake sio constant; kuna wakati anazidisha au anapungua siku moja pengine hata siku mbili..
Lakini pia kuna uwezekano wa sperms kuishi hadi siku 7 kwenye kizazi cha mwanamke,kwa hiyo kusema siku za hatari kwa mwanamke kuna factors nyingi, not just by numbering days!
Hii itanisaidia hata mimi
Mdau sperm za binadamu kuishi up to 168 hours ndan ya uzaz wa mwanamke sijawah kusikia nafikir hata science haisem hivyo,ni 72 hours
Sioni umuhimu wa kubishana kwa hili coz watu wakikalili its 168 hours ni bora zaidi ktk kuzuia mimba kuliko 72 hoursMkuu 72 hrs ni kwa simple majority..yet kuna occasions chache zinafika siku saba..lkn pia ungefanya hata kugoogle basi, mbona references nyingi tu zinasema siku 5?
Do not limit yourself in form three references my dear!