Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

mkuu umeeleza vizuri ila hiyo hesabu ya kolomije bala

28-14 =16???

N.b mwanamke kama hana tatizo lolote siku zake haziwezi kuongezeka lazima zipungue siku mbili au siku ile ile.

Mfano kama mwezi ulopita mwanamke uliingia trh 30 mwezi huu wa 5 inabidi aingie trh 28. Yaani ukihesabu ziwe siku 28 vile vile na wale wa 30 ukihesabu ziwe 30 na sio kuzidi tofauti na hapo kuna shida.
Mkuu nilijibu usiku na usingizi mwingi, but ni jambo la kheri kwan nimerekebisha tayari


Am not perfect at all.

Thanx.
 
Husababisha kuvuruga mfumo wa hormones mwilini, so period ikisha fika sio rahc kukata mapema inakuwa in continuation situation
Sasa hayo yote n yakujitakia
Wenywe mwingine utaskia
Akilalamika hazai
Wakat kizaz kakiaribu
Mwenywe
 
Hesaba kuanzia siku ya kwanza unaanza bleed siku ya 12,13,(14),15,16 hizo ndo tarehe za yai kushuka ambazo inasadikika ukiunganisha vikojoleo tu imooo
 
Kusoma thread yako naona uvivu, Mkuu wewe mzunguko wako ni wa siku ngapi? Mara ya mwisho ulianza lini kubleed na ukamaliza lini?

Dhumuni la kuuliza hayo maswali ni kutaka nikupe tarehe za wewe kukutana na mume wako ili ushike ujauzito.
 
Kama ndio umemaliza miaka mi3 ya kuweka kijiti subiri kwanza mpaka period yako itakapokaa sawa ndipo uanze kufatisha calenda, mwambie ajifunze ku withdraw kwa kipindi kichi hadi mzunguko utakapokaa sawa
Mmhh ivi kumbe ni rahisi kiasi hicho!!
Ebu wajaribu watketa mrejesho
 
Siku ya 14 baada ya kumaliza hedhi.

Samahani swali lako ni pana sana na mimi nimejibu hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom