siku za mapacha ni zipi?YES UNAWEZA PM
Pole sana ajali kaziniNimeshindwa kuelewa cjui umri nao unachangia, manake nilikuwa mtumiaji mzuri wa kalenda Ila ck ya 20tangu nimeanza ck zangu nilibeba mimba
Dhaaaaaaaa nmeingia king walaaaaah
Tumia ile mbinu ya mara ya kwnzMh haya bana
Mara ya kwanza nilishtuka tu kitumbo sikuwa na hesabu.Tumia ile mbinu ya mara ya kwnz
Nilikua natumia vijiti vilipo isha muda nilitoa mwaka juzi mwishoni, nilikaa hivi hivi mpaka Sasa mzunguko Wangu umerudi kama mwanzo Ndio tarehe Sasa sijui au Ndio vijiti Hivyoo.Mie sio mtaalam na bahati mbaya sikusoma bayolojia, ila kuna sababu nyingi sana hapo kati kati, hasa kama ulikua unatumia njia za uzazi wa mpango kama sindano, vidone au kijiti, vina athiri sana upatikanaji wa mtoto pale unapokua unahitaji.
Kama hayo yote haupo basi tulia endelea na ratiba zako mambo yatakaa sawa yenyewe, Msalimie sana Sabrina.
Leo Ndio namalizia Mkuu nilianza jumatatu Leo zinaishia ishia mpk kesho patakuwa pamekaukaSiku ukianza sikuzako ni cheki pm nikupe somo sawa
Asante SanaSiku ya 11 hadi 14 baada ya hedhi ndio siku ya kupata ujauzito, yaani unahesabu kuanzia siku ya kwanza uliyoingia mp.
Unaweza pia kudownload app ya my calendar itakusaidia vizuri sanaNilikua natumia vijiti vilipo isha muda nilitoa mwaka juzi mwishoni, nilikaa hivi hivi mpaka Sasa mzunguko Wangu umerudi kama mwanzo Ndio tarehe Sasa sijui au Ndio vijiti Hivyoo.
Nilikua natumia vijiti vilipo isha muda nilitoa mwaka juzi mwishoni, nilikaa hivi hivi mpaka Sasa mzunguko Wangu umerudi kama mwanzo Ndio tarehe Sasa sijui au Ndio vijiti Hivyoo.
Asante Sana Mkuubeingsingle amesharahisisha sana hili jambo, kuanzia siku ya 11 nakuendelea mambo yanaweza kuwa mazuri. Punguza wasiwasi pia shem nae aandaliwe kupunguza msongo wa mawazo.
Nimeshuhudia wengi wakikaa miaka miwili hadi mitatu baada ya kutoa vijiti wakiwa wanatafuta mtoto, kwako una ahueni kubwa kwa sababu siku zako zimeshakaa sawa, hatua inayofuata Muumba vyote ataimalizia. Yote Kheri