Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Hata kama wamefanya kosa kubwa kiasi gani, wewe kama mzazi, mwalimu au mlezi unakubaliana na adhabu hii?
View attachment 214684
View attachment 214684
nakuunga mkono asilimia zote mkuu
Hata kama wamefanya kosa kubwa kiasi gani, wewe kama mzazi, mwalimu au mlezi unakubaliana na adhabu hii?
View attachment 214684
Nyie mmezaliwa leo? Hizi adhabu na zaidi ya hapa tulizipata shuleni na mtaani pia. Mtoto alikuwa ni wa mtaa, yaani ukifanya kosa waweza adhibiwa na hata na mtu asiye mzazi wako. Kwangu mm ilinijengea nidhamu ambayo ukiambatanisha na mafundisho ya wazazi, leo hii niko pazuri...Mungu ni mwema. Sema kwa ss kuna changamoto katika kutoa adhabu km hizi kwa kizazi hiki.
Yote ni heri, lkn sioni mantiki ya kuwatusi walimu kwa kutoa hizi adhabu. Watoto wa digitali wanahitaji more than kuonywa. Hata maandiko yameeleza hilo. Tandika fimbo ukiambatanisha na maonyo.
Mm sioni taabu kuhusu adhabu hii!