MJADALA HURU: John Pombe Magufuli na hatima ya kupanda ndege

Acha upumbavu umeambiwa kuwa Rais wa China, Japan na nchi nyingine sio kwamba hawajui English kama huyo bush man ila wanaongea hizo lugha zao kutokana na taratibu za nchi zao,jiulize jiwe anaweza kusimama na kuhutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akiwa courage kabisa?! Pusi wee

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi hapa, kinyume na hapo Ni usukule wako tu
 
Hao hawazungumzi Kiingereza, wa kwetu hata Kiswahili hayuko vizuri, sijui kisukuma kwa wanaokijua, wakimsikiliza yuko mahiri au ni kuchapia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni mwalimu wa lugha yeye? Tumemchagua kwa ajili ya ubora wake wa kupiga kazi hawo wanaujua kizungu mbona hatujawachagua
 
Mtu anayekwenda kanisani kwa ajili ya kufanya kampeni huyo sio kiongozi,mzee Julius Nyerere alikuwa anakwenda kusali na kurudi kwake muda wa kampeni anafanya kampeni,Mzee mwinyi na ache Mkapa wanasali na kurudi nyumbani sasa unapomleta huyu kwenye darasa huru ni kupoteza vocha tu
😄😄😄😃😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom