Guantanamo Bay
Member
- Feb 6, 2009
- 29
- 38
Ndugu wanaforum,
Naomba Ushauri wenu juu ya ujenzi wa nyumba Dar.
Kutokana na uwezo mdogo, nimeshauliwa nitumie system inyoitwa interlocking blocks, amabyo inatumia tofari zinazotokana na mchanganyiko waudongo wa kisuguu na cement.
Swali:
Je, hii teknolojia ipo Dar?
Je inasaidia kupunguza gharama za ujenzi na kwa % ngapi ukilinganisha na nyumba ya tofali za Cement za kawaida?
Je, nyumba hiyo inaweza kudumu mda mrefu kama ya cement?
Nipeni ushauri ndugu zangu.
Ushauri mzuri huo, bila kkusahau finishing na gadgets anatakaje!Gharama ya kujenga nyumba inategemea ni nyumba aina gani unaitaka, ni single or double storey etc.
Unajenga mkoa gani, ipo karibu au mbali na mji, material gani unataka kutumia, labour cost, unataka professional au mafundi wa mtaani, quality ya material etc,
So mimi nakushauri tafuta Architect akuchoree ramani, Structural Engineer kwa ajili ya michoro ya columns etc. then mpe Quantity Surveyor mchoro yeye atakupa estimate, BUT estimate nyingi wanazotoa Quantity Surveyors huwa naona wanazidisha mara mbili ya gharama.
Jamani naomba niulize kwa wana Jf ambao ni wataalamu wa ujenzi,wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5,sebule,kitchen,dinning na sitting rom ina cost kwa makisio shilingi ngapi?naomba nielimishwe.asanteni.
Manyusi, hapa ni pamoja na ghrama za mafundi au ni ghrama za material peke yake?Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.
Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost
Yes kama ni gorofa unazidisha mara mbili au unachukua square meter za juu times 500,000 plus sqm za chini times 500,000 sum up the two values u will and get the roughly approximation.
Tatizo wabongo hampendi kutumia wataalam wa kazi hizo unajikuta mafundi wanawaibia wanafanya vitu vya low quality,jifunzeni kutumia wataalam katika kazi ambazo hamna utaalamu wake.
Kwa mfano unaweza ukamtumia quantity surveyor akakupa quantity ya material na garama yake hapo unapata picha halisi ya garama ya nyumba yako na ni kwa garama nafuu tu pale UCLAS wapo vijana wazuri tu hata mtaani. Ukihitaji contact za hao watu ni PM
So mimi nakushauri tafuta Architect akuchoree ramani, Structural Engineer kwa ajili ya michoro ya columns etc. then mpe Quantity Surveyor mchoro yeye atakupa estimate, BUT estimate nyingi wanazotoa Quantity Surveyors huwa naona wanazidisha mara mbili ya gharama.
Kwa mfano unaweza ukamtumia quantity surveyor akakupa quantity ya material na garama yake hapo unapata picha halisi ya garama ya nyumba yako na ni kwa garama nafuu tu pale UCLAS wapo vijana wazuri tu hata mtaani. Ukihitaji contact za hao watu ni PM
Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.
Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000 = Construction cost